-
Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria
Dec 16, 2017 15:41Kituo cha Mapatano cha Russia nchini Syria kimetangaza kuwa, Marekani imeanzisha kundi jipya la waasi lililopewa jina la Jeshi Jipya la Syria katika kambi ya wakimbizi iliyoko mkoani Hasaka huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Viongozi wa nchi za Afrika wana wasiwasi wa kurejea barani humo Madaesh wanaotoka Syria na Iraq
Dec 14, 2017 15:43Viongozi wa nchi za Afrika wamesema wana wasiwasi wa kurejea barani humo maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) kutoka nchi za Iraq na Syria.
-
Kutangazwa ushindi wa mwisho wa taifa la Iraq dhidi ya ISIS
Dec 11, 2017 03:34Mkanda wa kuendelea kushindwa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la Mashariki ya Kati unaendelea kiasi kwamba, muda mchache baada ya kutangazwa kushindwa kikamilifu ISIS nchini Syria, habari nyingine zinasema kuwa magaidi hao wakufurishaji wameshindwa kikamilifu pia nchini Iraq.
-
Iraq yatangaza rasmi kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS nchini humo
Dec 09, 2017 15:10Waziri Mkuu wa Iraq leo ametangaza rasmi kumalizika kwa mafanikio vita dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Russia: Magaidi wameshaangamizwa kikamilifu Syria
Dec 07, 2017 07:27Mkuu wa Jeshi la Russia ametangaza kuwa, vikosi vyote vya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) vimeangamizwa nchini Syria na kwamba nchi hiyo ya Kiarabu imesafishwa kikamilifu na uwepo wa magaidi.
-
Ayatullah Shahroudi: Kushindwa Daesh(ISIS) kutausukuma ubeberu uanzishe njama mpya
Nov 26, 2017 03:43Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwa macho na njama za ubeberu wa kimataifa.
-
Ayatullah Kadhim Siddiqi: Kusambaratishwa ISIS kumeitia kiwewe Marekani na Israel
Nov 24, 2017 16:32Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amepongeza hatua ya kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) na kusisitiza kuwa, habari hizo zimechoma nyoyo za waungaji mkono wa magenge ya kigaidi duniani.
-
Velayati: Iran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake
Nov 24, 2017 04:22Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, ushawishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye eneo hili ni wa kujivunia kwani ni ushawishi wa kirafiki na kwamba Tehran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake.
-
Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 23, 2017 07:15Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumatano alikutana na maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa jeshi la Basij waliokwenda kuonana naye kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na kusema kujitokeza kwa wingi vijana katika medani mbalimbali hasa medani ya kupambana na madola ya kiistikbari na kibeberu ni kati ya miujiuza ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ayatullah Khamenei: Vijana wenye imani wameipigisha magoti Marekani kwa kuiangamiza Daesh
Nov 22, 2017 16:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, adui amezidisha uhasama wake kwa shabaha ya kuangamiza muqawama na mapambano yaliyoanzishwa na fikra ya kimapinduzi na Kiislamu katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini vijana na waumini wenye istiqama wamewapigisha magoti maadui na kuthibitisha tena kivitendo kaulimbiu ya "Sisi Tunaweza" kwa kuliangamiza tezi la sarati na kitakfiri la Daesh.