-
Raia karibu 2000 wa Ufaransa ni wapiganaji wa kundi la kigaidi la ISIS
Oct 29, 2017 07:56Kuna raia 1,910 wa Ufaransa ambao ni wapiganaji wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Kamanda wa Badr: Itikadi za Kiwahabi zinachochea ugaidi
Oct 29, 2017 03:04Kamanda wa kikosi cha wananchi wa Iraq cha Badr amesema kuwa Daesh na makundi mengine ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati yanaongozwa na fikra na itikadi za Kiwahabi za Saudi Arabia.
-
Uingereza yataka raia wake waliojiunga na ISIS Syria wauawe
Oct 24, 2017 04:31Uingereza inataka raia wake waliojiunga na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini Syria wauawe kabla ya kupata fursa ya kurejea nyumbani.
-
Jeshi la Misri laangamiza wanachama 24 wa Daesh eneo la Sinai
Oct 16, 2017 08:02Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuwaua wanachama 24 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi.
-
Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na Israel yagunduliwa katika maficho ya Daesh Syria
Oct 15, 2017 14:18Maghala kadhaa makubwa ya silaha za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yamegunduliwa katika maficho ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mji uliokombolewa wa al Mayadin mkoani Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Nasrullah: Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh
Oct 09, 2017 03:48Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inazuia kuangamizwa kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh huko Syria na inalisaidia kundi hilo kwa silaha kupitia kituo chake cha jeshi huko Syria.
-
Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya
Oct 08, 2017 14:12Vyombo vya mahakama nchini Iraq vinatazamiwa kuwatolea hukumu ikiwemo hukumu ya kifo, makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) raia wa nchi za Ulaya.
-
Jeshi la Iraq laukomboa mji wa Hawija kutoka makucha ya ISIS
Oct 05, 2017 08:04Jeshi la Iraq limetangaza kuukomboa mji wa kistratijia wa Hawija kutoka katika makucha ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Makamanda 7 wa Daesh waangamizwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Russia huko Syria
Oct 03, 2017 14:29Wizara ya Ulinzi ya Russia leo imetangaza habari ya kuuawa makamanda saba wa kundi la kigaidi la Daesh katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za nchi hiyo huko Syria.
-
Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel
Oct 01, 2017 15:26Hussein Amir-Abdullahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Iran amesema hatua ya Massoud Barzani, Rais wa Serikali ya Eneo la Kurdistan ya kushinikiza kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya Iraq ni sawa na kulishajiisha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.