Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Qassemi: Trump hajui lolote isipokuwa mafuta, dola na kudansi kwa panga

    Qassemi: Trump hajui lolote isipokuwa mafuta, dola na kudansi kwa panga

    Sep 23, 2017 12:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hajui lolote kuhusu dunia na eneo nyeti la Mashariki ya Kati isipokuwa fedha, mafuta na kudansi akiwa ameshika upanga.

  • Sayyid Hassan Nasrullah tumejiweka imara kukabiliana na adui hata ikiwa ni Marekani

    Sayyid Hassan Nasrullah tumejiweka imara kukabiliana na adui hata ikiwa ni Marekani

    Sep 22, 2017 04:13

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa harakati hiyo haitaki vita, lakini ikiwa itashambuliwa basi itasimama imara kukabiliana vikali na adui hata kama atakuwa ni Marekani.

  • Kim Jong-un: Trump ana matatizo ya kiakili, nitamfanya ajutie matamshi yake ya vitisho

    Kim Jong-un: Trump ana matatizo ya kiakili, nitamfanya ajutie matamshi yake ya vitisho

    Sep 22, 2017 01:15

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amejibu matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema kuwa, rais huyo wa Marekani ana matatizo ya kiakili na kwamba atalipa gharama ya matamshi yake ya vitisho dhidi ya Pyongyang.

  • Wamarekani waendelea kukosoa hotuba ya Trump katika UN

    Wamarekani waendelea kukosoa hotuba ya Trump katika UN

    Sep 21, 2017 11:45

    Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wameendelea kukosoa vikali hotuba na matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani katika mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Iran: Umefika wakati  kwa Tehran kusahihisha makosa ya Marekani na kutoa jibu kali

    Iran: Umefika wakati kwa Tehran kusahihisha makosa ya Marekani na kutoa jibu kali

    Sep 20, 2017 22:01

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH), Muhammad Ali Jafari amesema kuwa, tuhuma za Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran, zinaashiria ubeberu wa Marekani na utawala wake wa kifisadi na kusisitiza kuwa, sasa umefika wakati wa Tehran kusahihisha makosa hayo ya Marekani.

  • Rais Hassan Rouhani atoa hotuba UN akosoa vikali hotuba yaTrump, aitaja kuwa ya kijahili na kijinga

    Rais Hassan Rouhani atoa hotuba UN akosoa vikali hotuba yaTrump, aitaja kuwa ya kijahili na kijinga

    Sep 20, 2017 12:51

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema kuwa, miamala ya kijahili, michafu, chuki na iliyokosa uelewa na utoaji tuhuma zisizokuwa na msingi wowote ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Iran katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) si tu kwamba, haiendani na umoja huo, bali inakinzana pia na matakwa na matarajio ya leo ya watu wa mataifa yote ya dunia katika kikao hicho. 

  • Hotuba ya kifidhuli ya Trump UN yakosolewa vikali duniani

    Hotuba ya kifidhuli ya Trump UN yakosolewa vikali duniani

    Sep 20, 2017 03:35

    Matamshi ya kifedhuli aliyotoa Rais Donald Trump wa Marekani katika hotuba yake ya kwanza katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) yamekosolewa vikali na viongozi na shakhsia mbalimbali wa kisiasa duniani.

  • Philip Roth: Rais Trump ni mtu mwongo na mpumbavu

    Philip Roth: Rais Trump ni mtu mwongo na mpumbavu

    Sep 17, 2017 09:36

    Mwandishi mmoja wa Kimarekani amemshambulia kwa maneno makali Rais Donald wa Marekani na kumuita kuwa ni mtu mwongo na mpumbavu.

  • Upinzani wa Wapalestina dhidi ya mipango ya hadaa ya Rais Trump wa Marekani

    Upinzani wa Wapalestina dhidi ya mipango ya hadaa ya Rais Trump wa Marekani

    Sep 15, 2017 22:05

    Kuongezeka hatua za upuuzaji wa haki za Wapalestina, zikiwemo za kuundwa nchi yao huru, katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, kumeongeza hasira na malalamiko ya wananchi hao wanaodhulumiwa na utawala kandamizi na ghasibu wa Israel katika siku za hivi karibuni.

  • Kuchanganyikiwa serikali ya Trump kuhusiana na Iran

    Kuchanganyikiwa serikali ya Trump kuhusiana na Iran

    Sep 15, 2017 08:57

    Sambamba na kutangazwa majina mapya ya raia na mashirika ya Iran ambayo yameongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Marekani, serikali ya nchi hiyo kwa mara nyingine tena imeakhirisha vikwazo vya nyuklia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa siku nyingine 120.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS