Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ebola

  • WHO: Maandalizi ya kukabiliana na mlipuko wa Ebola yameboreka zaidi sasa kuliko mwaka 2014

    WHO: Maandalizi ya kukabiliana na mlipuko wa Ebola yameboreka zaidi sasa kuliko mwaka 2014

    May 21, 2018 09:26

    Dakta Tedros Adhanom Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema leo kuwa kuenea kwa maradhi ya Ebola katika mji mkuu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni jambo lenye kutia hofu hata hivyo akasema kuwa maandalizi ya kukabiliana na hali ya sasa yameboreka zaidi kuliko ilivyokuwa mwaka 2014 huko Magharibi mwa Afrika wakati ulivyoripotiwa mlipuko mkubwa wa homa hiyo hatari.

  • Chanjo ya Ebola kuanza kutolewa Kongo DR kesho Jumatatu

    Chanjo ya Ebola kuanza kutolewa Kongo DR kesho Jumatatu

    May 20, 2018 09:59

    Wafanyakazi wa sekta ya afya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wataanza kupewa chanjo ya Ebola kesho Jumatatu katika juhudi za kuzuia kuenea ugonjwa huo hatari.

  • WHO yapewa idhini ya kutumia chanjo ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    WHO yapewa idhini ya kutumia chanjo ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    May 14, 2018 22:43

    Maafisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamelipatia idhini Shirika la Afya Duniani (WHO) kuingiza na kutumia nchini humo chanjo ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola. Hayo yameelezwa jana na Dakta Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa WHO.

  • Kongo DR na UN zatuma wataalamu kukabiliana na mlipuko wa Ebola

    Kongo DR na UN zatuma wataalamu kukabiliana na mlipuko wa Ebola

    May 13, 2018 11:15

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na taasisi za Umoja wa Mataifa zimeanza kutuma nchini humo timu za wataalamu ili kujaribu kuzuia kuenea maambukizi ya homa ya Ebola ambayo hadi sasa inashukiwa tayari imeshawaambukiza watu zaidi ya 30.

  • WHO yatahadharisha juu ya kuibuka tena ugonjwa wa Ebola huko DRC

    WHO yatahadharisha juu ya kuibuka tena ugonjwa wa Ebola huko DRC

    May 11, 2018 23:47

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kuibuka tena ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Uganda yakumbwa tena na homa ya Marburg

    Uganda yakumbwa tena na homa ya Marburg

    Oct 20, 2017 13:18

    Uganda imethibitisha kufariki dunia mtu mmoja kwa homa inayoenezwa na kirusi cha Marburg, homa ambayo huambatana na kuvuja damu sawa kabisa na homa ya Ebola. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya wa nchi hiyo.

  • Walioambukizwa Ebola waongezeka DRC, wafika 20

    Walioambukizwa Ebola waongezeka DRC, wafika 20

    May 16, 2017 09:52

    Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC idadi ya visa vinavyoshukiwa kuwa ni Ebola imeongezeka na kufikia 20.

  • Ugonjwa wa Ebola waripotiwa DRC, watu watatu wafariki dunia

    Ugonjwa wa Ebola waripotiwa DRC, watu watatu wafariki dunia

    May 13, 2017 02:41

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, ugonjwa wa Ebola umezuka katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwamba, hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kwa ugonjwa huo hatari.

  • Ugonjwa usilojulikana waibuka Liberia, 9 wapoteza maisha

    Ugonjwa usilojulikana waibuka Liberia, 9 wapoteza maisha

    Apr 28, 2017 10:14

    Watu tisa wamepoteza maisha na wengine wanane bado wako hospitalini nchini Liberia baada ya kuibuka ugonjwa usiojulikana na kuwakumba watu 17 tangu siku ya Jumatatu ya Aprili 24.

  • WHO: Chanjo ya Ebola yatoa ulinzi wa asiilimia 100

    WHO: Chanjo ya Ebola yatoa ulinzi wa asiilimia 100

    Dec 23, 2016 03:31

    Utafiti uliochapishwa katika jarida la Lancet umeonyesha kuwa chanjo ya majaribio ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Ebola kwa jina la rVSV-ZEBOV inaonekana kuwa na athari kwa asilimia 100.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS