-
Iran na Ethiopia zasisitiza juu ya kuimarisha ushirikiano wao
May 11, 2017 03:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ethiopia zimesisitiza juu ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyanja mbalimbali.
-
Majeshi ya Ethiopia na Sudan yawekwa katika hali ya tahadhari kukabiliana na shambulio tarajiwa la Misri
May 09, 2017 04:20Vikosi vya mpakani vya majeshi ya Sudan na Ethiopia katika mpaka wa pamoja na Misri vimewekwa katika hali ya tahadhari kwa lengo la kuzima shambulio linaloweza kufanywa na nchi hiyo dhidi ya bwana la Ethiopia la Al-Nahdhah (Renaissance).
-
Umoja wa Mataifa waitaka serikali ya Ethiopia kuwaachilia huru wapinzani
May 05, 2017 04:04Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Ethiopia kuwaachilia huru watu ambao walitiwa nguvuni katika maandamano dhidi ya serikali hiyo kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu.
-
Jumuiya za haki za binadamu: Mamia waliuawa katika maandamano ya mwaka jana Ethiopia
Apr 20, 2017 04:36Ofisi ya Haki za Binadamu nchini Ethiopia imetangaza kuwa, raia 669 waliuawa katika maandamano yaliyofanyika mwaka jana dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Ethiopia yakataa wito wa UN na EU wa kufanyika uchunguzi dhidi yake
Apr 19, 2017 02:29Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya mamia ya watu wakati wa maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali ya Addis Ababa nchini humo.
-
Aboul Gheit: Ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia
Apr 14, 2017 16:12Katibu Mkuu wa Arab League Ahmed Aboul Gheit amesema kuwa, ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia kuhusiana na tofauti za nchi mbili juu ya ujenzi wa bwawa la al-Nahdha (Renaissance) katika mto Nile.
-
Ethiopia kuipa Tanzania umeme wa bei nafuu, kutumia bandari ya Dar es Salaam
Apr 02, 2017 08:14Tanzania na Ethiopia zimetiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano wa kiuchumi na biashara na kuahidi kuendelea kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Ethiopia yarefusha muda wa sheria ya hali ya hatari kwa miezi 4
Mar 30, 2017 15:45Bunge la Ethiopia limetangaza habari ya kurefushwa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa muda wa miezi minne zaidi, wiki mbili baada ya serikali kufuta sheria hiyo.
-
Idadi ya waliofariki dunia katika maporomoko ya taka Ethiopia yafikia 113
Mar 16, 2017 07:52Nchini Ethiopia, idadi ya vifo vilivyosababiswa na maporomoko ya taka katika eneo la kutupa taka viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo Addis Ababa imefikia 113
-
Amnesty yailaumu serikali kwa maporomoko ya taka Ethiopia, waliokufa wakifikia 65
Mar 14, 2017 14:55Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema serikali ya Ethiopia inabeba dhima ya vifo vya makumi ya watu katika mkasa wa maporomoko ya udongo katika eneo la kutupa taka viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo Addis Ababa.