-
Rais mteule wa Gambia kuangalia upya suala la kujiondoa ICC
Dec 04, 2016 15:06Adama Barrow, Rais mteule wa Gambia amesema atatengue uamuzi wa mtangulizi wake aliyembwaga katika uchaguzi wa siku chache zilizopita Yahya Jammeh wa kuiondoa nchi hiyo katika Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Mgombea wa upinzani ashinda kiti cha Urais Gambia
Dec 04, 2016 03:11Adama Barrow, mgombea wa muungano wa upinzani nchini Gambia amembwaga Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ambao matokeo yake hayakutarajiwa.
-
Yahyah Jammeh ashindwa vibaya katika uchaguzi wa rais Gambia
Dec 02, 2016 15:44Rais Yahyah Jammeh wa Gambia amekiri kushindwa katika uchaguzi wa rais nchini humo na kwa msingi huo kuhitimisha utawala wake wa miaka 22 katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Uchaguzi wa Gambia unafanyika leo, Rais Jammeh anawania kipindi cha tano cha uongozi
Dec 01, 2016 04:36Wananchi wa Gambia waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais wa nchi hiyo.
-
Gambia yaizuia timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EU nchini humo
Nov 19, 2016 07:51Serikali ya Gambia imekataa kuruhusu timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya EU kuingia nchini humo kwa ajili ya kufuatilia uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
-
UN yaainisha tarehe ya kujiondoa rasmi Gambia ICC
Nov 15, 2016 07:50Umoja wa Mataifa umetangaza tarehe ya kujiondoa rasmi Gambia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
HRW: Rais wa Gambia anawatesa wapinzani na wakosoaji wake
Nov 03, 2016 03:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linamtuhumu Rais wa Gambia Yahya Jammeh kuwa anawakandamiza na kuwatesa wapinzani na wakosoaji wake na kwamba yumkini uchaguzi mkuu ujao wa Disemba Mosi usiwe huru na wa haki.
-
Gambia nayo yatangaza azma yake ya kujiondoa ICC
Oct 26, 2016 14:56Gambia imejiunga na nchi kadhaa za Afrika zilizotangaza azma yao ya kujiondoa katika Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Wapinzani Gambia wamtangaza mgombea kiti cha urais
Sep 03, 2016 03:20Chama kikubwa zaidi cha upinzani nchini Gambia kimemtangaza mgombea wake atakayechuana na Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo, Yahya Jammeh katika uchaguzi wa rais mwezi Desemba.
-
Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaanza nchini Gambia
Jul 27, 2016 13:59Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yameanza nchini Gambia kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 28.