-
Gambia yawatia nguvuni majenerali wa Yahya Jammeh
Jan 23, 2018 04:48Jeshi la Gambia limewatia mbaroni majenerali wawili wa ngazi za juu wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh.
-
Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 17, 2018 11:23Wawakilishi wa nchi za Kiafrika za Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco wamesisitiza katika Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kupatiwa ufumbuzi matatizo yanayoukabili Ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana pia na utawala ghasibu za Kizayuni.
-
Gambia na Senegal kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
Aug 22, 2017 23:50Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa nchi za Senegal na Gambia wametilia mkazo umuhimu wa kushirikiana nchi zao katika vita dhidi ya ugaidi.
-
China kuisaidia Gambia baada ya kukata uhusiano na Taiwan
Aug 02, 2017 03:40China imeahidi kuipa msaada Gambia baada ya nchi hiyo ya Kiafrika kukata uhusiano rasmi na serikali tya Taiwan.
-
UN yataka kuungwa mkono juhudi za kukabidhiana madaraka kwa amani nchini Gambia
Jul 18, 2017 03:10Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa magharibi mwa Afrika ameitaka jamii ya kimataifa kusaidia juhudi za kukabidhiwa madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia.
-
Senegal yaonya kuhusu hatari za kupinduliwa serikali ya Gambia
Jul 06, 2017 03:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal ameonya kuwa ukosefu wa utulivu na machafuko yanatishia uwepo wa serikali mpya ya Gambia.
-
Rais mpya wa Gambia azidi kuandamwa na mashinikizo
May 28, 2017 02:26Matatizo na mashinikizo yamezidi kumwandama rais mpya wa Gambia kutokana na kushindwa kutangaza makamu wake.
-
Gambia yazuia mali za Jammeh, zikiwemo dola milioni 50 alizopora
May 23, 2017 03:18Serikali ya Gambia imezuilia mali zinazomilikiwa na rais wa zamani wa nchi hiyo Yahya Jammeh, zikiwemo akaunti 86 za benki na majumba ya kifahari 131.
-
Wagambia kuchagua bunge leo baada ya utawala wa miaka 22 wa Jammeh
Apr 05, 2017 22:50Wananchi wa Gambia leo tarehe 6 Aprili wanatarajiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa shabaha ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la nchi hiyo.
-
Wananchi wa Gambia kuwachagua wabunge baada ya miaka 22 ya utawala wa kidikteta
Apr 04, 2017 23:41Wananchi wa Gambia huko magharibi mwa Afrika wanatazamia kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa bunge baada ya kupita miaka 22 ya utawala wa kidikteta wa Yahya Jammeh.