-
Sisitizo la Pakistna la kuhitajia mno gesi ya Iran
Mar 30, 2024 02:31Musadik Masood Malik, Waziri wa Mafuta wa Pakistan amesema kuwa nchi yake inahitajia mno gesi ya Iran na kwamba msimamo wa Islamabad uko wazi kuwa, kukamilishwa mradi wa kupelekwa gesi ya Iran nchini Pakistan ni jambo la dharura.
-
Waziri: Uzalishaji wa gesi ya Iran umeongezeka licha ya vikwazo
Mar 03, 2024 04:39Waziri wa Mafuta wa Iran amesema uzalishaji wa gesi ya Jamhuri ya Kiislamu umeendelea kuongezeka siku baada ya siku, licha ya vikwazo vya Wamagharibi dhidi ya sekta ya nishati ya taifa hili.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 15, 2023 02:23Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Qatar: Hatutoi gesi ya wateja wa Asia kwenda Ulaya
Oct 19, 2022 08:10Waziri wa Masuala ya Nishati wa Qatar ametangaza kuwa haitazamiwi katika msimu ujao wa baridi kali shehena ya gesi iliyopangwa kwenda Asia kuelekea Ulaya.
-
Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish
Sep 17, 2022 11:59Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.
-
Mzozo mpya wa Russia na Magharibi kuhusu nishati
Sep 04, 2022 03:38Mawaziri wa fedha wa nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani, zinazojulikana kama G7, walikubaliana Ijumaa, Septemba 2, katika mkutano uliofanyika kwa njia ya video, kuweka mipaka ya bei kwa mauzo ya mafuta ya Russia.
-
Kupamba moto vita vya nishati barani Ulaya
Sep 02, 2022 02:27Suala la kudhaminiwa mahitaji ya gesi kwa nchi za Ulaya sasa limekuwa tatizo sugu kwa nchi hizo. Nchi za Ulaya, ambazo ziliamua kuiwekea Russia vikwazo vya kila aina ili kuishinikiza katika vita vya Ukraine, sasa zinaituhumu Moscow kwamba inaitumia gesi kama silaha ya vita.
-
Russia: Hatuna nia ya kuzikatia gesi kikamilifu nchi za Ulaya
Jul 26, 2022 02:28Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kuwa, Moscow haina nia ya kuzikatia kikamilifu gesi yake nchi za Ulaya.
-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 14, 2022 03:18Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.
-
Kuendelea mtikisiko katika soko la nishati, Russia yaikatia gesi Ufaransa
Jun 20, 2022 02:33Huku vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwekewa Moscow, mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhaminia nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo muhimu.