-
Maandamano ya 25 ya baharini ya kuondoa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza kufanyika leo
Mar 05, 2019 04:30Kamati ya Uchunguzi wa Kitaifa ya kuondoa mzingiro liliowekewa eneo la Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, maandamano ya 25 ya baharini ya kushinikiza kuondolewa mzingiro huo yatafanyika leo katika eneo la maji ya ukanda huo.
-
Ismail Haniya: Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan havitatengana
Feb 13, 2019 23:12Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, eneo la Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hayatatengana na kwamba, Hamas haitaruhusu Isreal ikwepe majukumu na dhima yake kuhusiana na Gaza.
-
Utawala katili wa Israel waendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza
Feb 09, 2019 04:17Vijana wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika 'Maandamano ya Haki ya Kurejea' ambayo yalifanyika jana katika mpaka wa Ukanda wa Gaza.
-
Siku ya Gaza, hatua athirifu katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Jan 19, 2019 08:31Siku ya Gaza ambayo ni nembo ya kuwaunga mkono wakazi wa eneo la Gaza huko Palestina wanaokabiliwa na mzingiro imewadia katika hali ambayo, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Palestina imeshuhudia kuongezeka harakati za wananchi zenye lengo la kuuvunja mzingiro wa Gaza.
-
Misri kuanzisha kivuko cha kibiashara kati yake na Ghaza
Jan 12, 2019 23:29Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza habari ya kuanzishwa kivuko cha kibiashara katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na Misri.
-
Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza
Jan 11, 2019 23:24Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Lieberman akiri, maandamano ya Haki ya Kurejea yametoa pigo kwa Israel
Dec 05, 2018 03:41Waziri wa Vita aliyejiuzulu wa Israel amekiri kwamba, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa mashinikizo makubwa kwa utawala huo kupitia maandamano yanayofanywa kila siku ya Ijumaa na raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Al-Ahram: Muqawama wa Gaza umeiweka Israel katika fedheha na kushindwa
Nov 20, 2018 23:10Gazeti la Al-Ahram la nchini Misri limeandika kwamba, kurudi nyuma utawala haramu wa Kizayuni katika kukabiliana na muqawama wa eneo la Gaza, Palestina sasa kumeuweka utawala huo katika hali ya fedheha na kushindwa kijeshi.
-
UN yalaani jinai mpya za Wazayuni Palestina
Oct 30, 2018 01:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuwaua watoto wa Palestina hakikubaliki kabisa.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza
Oct 27, 2018 02:22Kwa akali Wapalestina watano wameuawa shahidi huku mamia ya wengine wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.