-
UN: Ushindi wa Trump katika uchaguzi wa rais Marekani ni hatari kubwa
Oct 12, 2016 12:24Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican atashinda katika uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani, jambo hilo litakuwa hatari kubwa kwa dunia nzima.
-
Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania
Oct 12, 2016 04:05Wanawake kutoka nchi kadhaa za Afrika wanakongamana mjini Moshi nchini Tanzania katika mkutano wa kujadili haki za mwanamke, hususan haki ya kumiliki ardhi na maliasili.
-
Utiwaji mbaroni wa kidhalimu waongezeka Bahrain
Sep 11, 2016 22:00Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain kimebainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka utiwaji mbaroni raia kidhulma nchini humo.
-
ZHRC: Polisi ya Zimbabwe imefanya ukatili dhidi ya wapinzani
Aug 30, 2016 23:56Tume ya Haki za Binadamu ya Zimbabwe (ZHRC) imelilaumu jeshi la polisi la nchi hiyo kuwa limefanya ukatili na kukanyaga haki za wapinzani wa serikali wakati wa kuzima maandamano yao katika kipindi cha miezi miwili ya hivi karibuni.
-
Ukosolewaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain
Jul 17, 2016 03:03Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa ripoti yake ya mwaka 2015 hadi 2016 na kutangaza kuwa, Bahrain imeendelea kushuhudia ukandamizaji wa uhuru wa kutoa maoni, mateso na kuendeshwa kesi za kidhulma sambamba na kutolewa hukumu za kidhalimu dhidi ya wapinzani wa kisiasa katika nchi hiyo inayotawaliwa na mfumo wa Kifalme.
-
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na uvunjaji wa haki za binadamu DRC
Jul 14, 2016 11:20Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imeelezea kusikitishwa kwake na kuendelea vitendo vya uvunjanji wa haki za binadamu nchini Kongo na kusema kuwa, zaidi ya kesi elfu mbili za uvunjaji wa haki za binadamu zimeripotiwa nchini humo katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu.
-
Amnesty: Mamia wametoweka mikononi mwa vyombo vya usalama Misri
Jul 13, 2016 13:59Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake juu ya wimbi la kutoweka mamia ya watu wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama nchini Misri tangu mapema mwaka jana.
-
Amnesty yaeleza wasiwasi kutokana na kukamatwa waandamanaji Marekani
Jul 11, 2016 12:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na kukamatwa waandamanaji wanopinga ukatili wa polisi nchini Marekani.
-
UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya
Jul 06, 2016 00:02Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali mauaji ya wakili wa haki za binadamu nchini Kenya Bwana Willie Kimani, mteja wake Josphat Mwenda, na dereva wao wa taxi Joseph Muiruri, yaliyofanyika Juni 23.
-
Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu
Jun 29, 2016 22:58Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.