-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 05, 2024 02:17Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 06:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Gazeti la Kizayuni la Haaretz: Vita na Hizbullah ni "kujitia kitanzi"
Jul 01, 2024 02:22Gazeti moja la Kizayuni linalochapishwa mjini Tel Aviv limetabiri kuwa, matokeo ya vita vikubwa kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon ni sawa na kujitia kitanzi Israel na kushindwa vibaya sana.
-
Arab League yaiondoa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jun 30, 2024 06:56Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetangaza habari ya kuiondoa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha yake ya 'mashirika ya kigaidi'.
-
Kamanda mwingine wa Hizbullah auawa shahidi na droni ya Wazayuni Lebanon
Jun 18, 2024 08:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inatazamiwa kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya ngome za walowezi wa Kizayuni, baada ya kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la muqawama kuuawa shahidi kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah yayatwanga tena kwa makombora maeneo ya Wazayuni
Jun 16, 2024 02:44Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio mapya dhidi ya maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuuni ikiwa ni kujibu mauaji ya hivi karibuni ya Israel ya kamanda mmoja mkubwa wa harakati hiyo huko kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah yainyeshea Israel kwa mvua ya maroketi baada ya kamanda kuuawa
Jun 13, 2024 02:23Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya maroketi ngome na maeneo ya walowezi wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Wapalestina 35 wachomwa moto wakiwa hai katika shambulio la kinyama la Israel Rafah
May 27, 2024 03:20Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora kambi ya watu waliolazimika kuhama makazi yao na kuhamia eneo lililotengwa kuwa na usalama huko Rafah, na kuwaua shahidi Wapalestina 35, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
-
Hizbullah, Harakati ya Muqawama Iraq zashambulia ngome za Israel
May 24, 2024 07:22Wanamapambano wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq wamefanya operesheni tofauti dhidi ya kambi na ngome za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel, katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu mwaka 1948, kwa ajili ya kulipiza kisasi cha vita vya umwagaji damu vya Israel dhidi ya Gaza.
-
Kwa mara ya kwanza, Hizbullah yashambulia ndani kabisa ya ngome za Wazayuni tangu vilipoanza vita vya Ghaza
Apr 24, 2024 02:44Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya vituo viwili vya kiejshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kulipiza kisasi cha mauaji ya wapiganaji wake wawili.