-
Naibu Kamanda wa IRGC: Jibu la Iran kwa mauaji ya Haniyeh litakuwa 'tofauti, la kushangaza' na la wakati muafaka'
Sep 04, 2024 23:03Naibu Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameonya kuwa jibu la Tehran kwa mauaji ya Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Hamas aliyeuawa kigaidi mjini Tehran, litakuwa tofauti na la kushangaza.
-
Wairan waghariki katika kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Ridha AS
Sep 04, 2024 03:32Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran tokea jana usiku wamezama katika maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali Ridha (AS), mjukuu wa Mtume Mtukufu (SAW) miaka 1242 iliyopita.
-
Iran yawaita mabalozi wa UK, Australia mjini Tehran
Sep 04, 2024 03:30Balozi wa Uingereza mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya serikali ya London kuwawekea vikwazo shakhsia watatu Wairan na taasisi moja ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran itaendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina
Sep 03, 2024 23:34Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuwa, serikali yake iko tayari kutoa uungaji mkono usiotetereka kwa ajili ya mapambano ya mataifa yote yanayodhulumiwa duniani kote, hususan Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Richard Nephew, mbunifu wa vikwazo dhidi ya Iran akiri kutokuwa na athari wenzo wa vikwazo
Sep 03, 2024 08:19Richard Nephew, mbunifu wa vikwazo dhidi ya Iran katika Wizara ya Mambo ya Nje na ya Fedha ya Marekani amekiri kutokuwa na taathira na kushindwa kwa mifumo ya vikwazo dhidi ya nchi nyingine.
-
Iran yahimiza kuchukuliwa hatua za ‘haraka na madhubuti’ za kukomesha jinai za Israel Ghaza
Sep 03, 2024 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi anasema kuwa, jamii ya kimataifa lazima ichukue hatua za "haraka na madhubuti" za kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
-
Iran: Dunia haitasahau nafasi ya UK katika kuundwa utawala wa Kizayuni
Sep 02, 2024 23:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mataifa ya kieneo na dunia kwa ujumla hayatasahau mchango na nafasi ya Uingereza katika kuundwa utawala wa kibaguzi wa Israel katika kitovu cha ulimwengu wa Kiislamu.
-
Pezeshkian afafanua mipango ya serikali yake katika mazungumzo na wananchi
Sep 02, 2024 09:02Katika mazungumzo yake ya kwanza ya televisheni na wanachi, Rais Masoud Pezeshkian amefafanua mipango ya serikali yake katika nyanja za ndani na nje ya nchi, na kusema kuwa vipaumbele vya serikali ya 14 ni kuwaridhisha wananchi, kuzingatia masuala ya kiuchumi na kuimarisha uhusiano na nchi mbalimbali.
-
Pezeshkian: Umoja ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiuchumi
Sep 01, 2024 03:52Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya kulinda umoja wa kitaifa miongoni mwa mirengo na makundi mbalimbali ya kisiasa ili kuwatumikia vyema zaidi wananchi.
-
Rais wa Iran kushiriki mkutano wa BRICS nchini Russia
Aug 31, 2024 09:35Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kushiriki Mkutano wa BRICS wa 2024 nchini Russia karibuni hivi.