-
Waziri wa Ulinzi : Iran imepiga hatua kubwa katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (Droni)
Mar 13, 2024 23:06Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesema kuwa uuzaji nje wa zana za kijeshi umeongezeka pakubwa katika miaka ya karibuni.
-
Iran na Iraq zasisitizia haja ya kusimamishwa mauaji ya kimbari Gaza
Mar 13, 2024 04:16Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Iraq wametoa mwito wa kuchukua hatua zaidi hasa za kisiasa kwa ajili ya kusimamisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 09:00Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Iran: Msaada wa kimaonyesho wa US kwa Gaza ni mchezo mchungu wa kuigiza
Mar 11, 2024 08:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kile alichokitaja kuwa onyesho chungu la kipropaganda la Marekani na kueleza kuwa, hatua ya Washington ya kudai kuwapa misaada ya kibinadamu Wapalestina wa Gaza, na wakati huo huo inazuia juhudi za kimataifa za usitishaji vita katika eneo hilo lililozingirwa, ni kichekesho.
-
Kufutwa akaunti za mitandao ya kijamii za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi, kielelezo cha uhasama wa Magharibi dhidi ya uhuru wa kusema
Mar 11, 2024 00:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema, hatua ya Shirika la Kimarekani la "Meta" (Facebook ya zamani) ya kufuta akaunti za mitandao ya kijamii za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kielelezo cha uhasama na uadui wa Magharibi dhidi ya uhuru wa kusema na kutoa maoni.
-
Rais Raisi: Iran ya leo imeendelea na ni ya teknolojia
Mar 09, 2024 04:13Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ya Kiislamu ya leo imeendelea na ni ya teknolojia.
-
Iran yaiambia UN: Tuna haki halali ya kujibu vitisho vya Israel
Mar 08, 2024 04:38Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ina kila haki na uhalali wa kuchukua hatua zote inazoweza kujibu uchokozi na tishio lolote kutoka utawala wa Israel dhidi ya usalama wake wa taifa na maslahi ya nchi hii.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran ataka mataifa ya Kiislamu kukata uhusiano wa kibiashara na Israel
Mar 07, 2024 22:54Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kukatwa uhusiano wa kibiashara kati ya nchi za Kiislamu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Sierra Leone kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Mar 06, 2024 23:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Sierra Leone wametilia mkazo wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa kiuchumi na kisiasa baina ya nchi zao.
-
Iran: OIC inakabiliwa na 'mtihani mgumu' kuhusu uhalifu wa Israel, himaya ya Marekani kwa utawala huo
Mar 05, 2024 04:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza umuhimu wa mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaotarajiwa kufanyika leo, akisema jumuiya hiyo yenye wanachama 57 "inakabiliwa na mtihani" juu ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza.