-
Khartoum yakanusha madai kuwa Iran inataka kujenga kambi ya kijeshi Sudan
Mar 04, 2024 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amekadhibisha madai ya gazeti moja la Marekani kwamba Iran imeiomba serikali ya Sudan idhini ya kujenga kituo cha kudumu cha kijeshi katika maji ya Bahari Nyekundu, pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Raisi: Iran ipo tayari kuipa Msumbiji uzoefu wa kiufundi na kiuhandisi
Mar 03, 2024 04:10Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ina hamu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa ya Afrika ikiwemo Msumbiji na kuongeza kuwa, kuna haja ya kubuni ramani mpya ya njia na kuamilisha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Msumbiji ili kupiga jeki ushirikiano wa pande mbili.
-
Utunishaji misuli; Choopan wa Iran atwaa tuzo ya kifahari
Mar 03, 2024 07:44Mtunishaji misuli veterani wa Iran, Hadi Choopan ametwaa taji la kimataifa la 'Bwana Olympia' katika tuzo za Arnold Classic 2024.
-
Ushiriki wa Wairani katika uchaguzi, jibu kwa misimamo ya uingiliaji kati hasi ya Merekani
Mar 02, 2024 10:11Kushiriki kwa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wamaomchagua Kiongozi Mkuu, kwa mara nyingine tena, kumezima njama za wapinzani wa Jamhuri ya Kiislamu wakiongozwa na Marekani, za kuwakatisha tamaa wananchi ili wasishiriki katika upigaji kura.
-
Global Firepower: Iran ni nchi ya 14 kwa nguvu za kijeshi duniani
Mar 02, 2024 04:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetajwa kuwa nchi ya 14 duniani kwa nguvu za kijeshi.
-
Kan'ani: Jeraha la Gazah halitafutika katika kumbukumbu za watu huru
Mar 01, 2024 03:48Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, jeraha la Gazah halitafutika katika kumbukumbu za watu huru.
-
Uchaguzi nchini Iran unafanyika leo Ijumaa
Mar 01, 2024 00:17Uchaguzi wa duru ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu unafanyika leo Ijumaa kote nchini ambapo wagombea watawania viti 290 vya Bunge na 88 vya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa nchi.
-
Iran yatuma angani salalaiti ya utafiti ya Pars-1 iliyotengenezwa nchini
Feb 29, 2024 23:31Iran jana Alhamisi ilifanikiwa kurusha angani salalaiti yake ya utafiti iliyotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini.
-
Safari za ndege baina ya Iran na Oman zaongezeka maradufu, biashara yazidi kustawi
Feb 28, 2024 23:33Wakuu wa mashirika ya ndege ya Iran na Oman wamesema kuwa, safari za ndege baina ya nchi hizi mbili ndugu za Kisilamu zimeongezeka maradufu hivi sasa kutoka safari 30 hadi 60 kwa wiki.