Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • 'Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel

    'Wadukuzi wa Iran' wapenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ya Israel

    Sep 12, 2023 02:58

    Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.

  • Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Sep 10, 2023 07:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutuma misaada ya kibinadamu nchini Morocco, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoua maelfu ya watu.

  • Iran kuunda makombora mapya ya hypersonic kuikabili Israel

    Iran kuunda makombora mapya ya hypersonic kuikabili Israel

    Sep 10, 2023 07:08

    Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amefichua mpango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuunda makombora mapya ya hypersonic ambayo anasisitiza kuwa yataufanya utawala wa Kizayuni ulipe gharama kubwa.

  • Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka

    Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka

    Sep 10, 2023 04:26

    Kufuatia uanachama kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, ujumbe kutoka Iran umeshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa 40 wa Baraza la Muundo wa Kieneo wa Kupambana na Ugaidi la jumuiya hiyo.

  • Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo

    Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo

    Sep 10, 2023 01:05

    Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga vikali aina yoyote ya uzushaji mivutano na kubadilishwa mipaka ya kihistoria ya eneo hili na akabainisha kwamba Tehran iko tayari kutoa mchango wa kuzuia kufanywa mabadiliko yoyote katika hali ya jiopolitiki ya eneo.

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso

    Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso

    Sep 08, 2023 04:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililouwa makumi ya watu nchini Burkina Faso.

  • Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana

    Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana

    Sep 07, 2023 23:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.

  • Balozi wa Saudia awasili Tehran; wa Iran pia akaribishwa Riyadh

    Balozi wa Saudia awasili Tehran; wa Iran pia akaribishwa Riyadh

    Sep 06, 2023 07:06

    Baada ya kupita miaka kadhaa tangu kuvunjika uhusiano wa kidiplomasia baina ya Iran na Saudi Arabia, Balozi mpya wa Saudia amewasili hapa Tehran; hatua inayoashiria kufunguliwa kwa ukurasa mpya wa uhusiano baina ya mataifa haya mawili.

  • Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo

    Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo

    Sep 05, 2023 23:44

    Rais wa Iraq amesema kuwepo uhusiano wa karibu kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kutapelekea kuimarikaa usalama na uthabiti wa eneo.

  • Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa Oktoba

    Waziri wa Ulinzi: Muda wa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran utamalizika mwezi ujao wa Oktoba

    Sep 05, 2023 09:38

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani ametangaza kuwa muda wa vikwazo vyote vya kidhalimu vya silaha ilivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu utamalizika mwezi ujao wa Oktoba na kueleza pia utayari wa Iran wa kupanua uhusiano wa kiulinzi na nchi zote zenye misimamo huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS