-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi
Apr 18, 2023 09:17Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wanaoikalia Quds kwa mabavu wanakaribia kuanguka
Apr 15, 2023 22:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ujumbe wa maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ni kutangaza mshikamano na Umma wa Kiislamu na kwamba jitihada zinazofanywa na tawala za Kiarabu za kuhuisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel hazitadhamini usalama wa utawala huo.
-
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yaanza Senegal
Apr 15, 2023 02:55Maonyesho makubwa ya Qur'ani Tukufu yameanza Dakar, mji mkuu wa Senegal huko Magharibi mwa Afrika kwa hima na juhudi za Chuo Kikuu cha Al-Mustafa.
-
Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya
Apr 14, 2023 23:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.
-
Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola
Apr 13, 2023 08:49Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marajii Taqlidi wataka mahudhurio makubwa ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds hapo kesho
Apr 13, 2023 08:49Marajii Taqlidi wa Waislamu wa Kishia wametoa taarifa kwa nyakati tofauti wakiwataka Waislamu ulimwenguni hasa wananchi wa iran kujitokeza kwa wingi hapo kesho katika maandamano ya Siku yay Kimataifa ya Quds.
-
Ujumbe wa Iran uko Saudi Arabia kuandaa ufunguzi wa ubalozi
Apr 12, 2023 22:53Ujumbe wa Iran umewasili katika mji mkuu wa Saudi Arabua, Riyadh, kujadili utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande hizo mbili mwezi uliopita ili kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
-
Rais Raisi: Taifa la Iran litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi Quds itakapokombolewa
Apr 12, 2023 09:39Rais Ebrahim Raisi amesema: taifa adhimu la Iran litatangaza kwa mara nyingine tena kwamba litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi itakapokombolewa Quds kikamilifu, kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi
Apr 10, 2023 23:33Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema vitendo vya kichokozi vilivyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu vinadhihirisha tabia ya utawala huo wa kifashisti na ubaguzi wa rangi.
-
Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita
Apr 10, 2023 22:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Wananchi wa Palestina ameashiria uungaji mkono mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina na kusisitiza kuwa Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita.