-
Jeshi la Anga la Iran lina uwezo wa kujibu haraka tishio lolote la adui
Oct 11, 2022 08:29Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu kina uwezo wa kufuatilia na kujibu kitisho au chokochoko zozote za maadui katika eneo hili ndani ya muda mfupi.
-
Rais Raisi: Usalama na uwezo wa Iran unategemea kusimama imara wananchi
Oct 11, 2022 04:35Rais Ebrahim Raisi amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na familia ya Shahidi mlinzi wa usalama wa nchi na kueleza kwamba usalama na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea kusimama imara wananchi na juhudi kubwa za maelfu ya Mashahidi, na akasisitizia umuhimu wa watu wote kuilinda na kuienzi rasilimali hiyo ya taifa.
-
Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani
Oct 10, 2022 03:58Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."
-
Shambulio katika ubalozi wa Iran laonyesha uungaji mkono wa Magharibi kwa wafanya ghasia
Oct 08, 2022 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran sanjari na kulaani shambulio lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Denmark amesisitiza kuwa, hujuma hiyo inaonyesha wazi uungaji mkono wa kisiasa wa Wamagharibi kwa wafanya ghasia.
-
Balozi wa Denmark aitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Oct 07, 2022 23:34Balozi wa Denmark mjini Tehran ameitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia shambulio lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Denmark na mshambuliaji aliyekuwa amebeba silaha baridi.
-
Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya
Oct 07, 2022 07:27Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran
Oct 06, 2022 05:47Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022, alijitokeza hadharani bila ya haya na kuunga mkono machafuko na kuuliwa maafisa usalama na wananchi wa Iran katika vurugu za hivi karibuni.
-
Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria
Oct 06, 2022 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya Umoja wa Ulaya dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, serikali ya Tehran itakabiliana na wafanya fujo na magaidi kwa kuzingatia misingi ya sheria za nchi hii.
-
Iran: Tutatoa jibu iwapo EU itaendelea na tabia yake ya uingiliajii
Oct 06, 2022 00:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametahadharisha kuwa, Tehran itatoa jibu mwafaka iwapo Umoja wa Ulaya utaendelea na tabia yake ya kungilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran
Oct 04, 2022 04:33Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.