-
Wairaq wafanya maandamano makubwa kulaani siasa za Marekani dhidi ya Iran
May 26, 2019 06:56Maelfu ya raia wa Iraq wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mkoa wa Baghdad na Basra wakilalamikia siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran bila shaka itapata ushindi katika makabiliano na Marekani
May 26, 2019 01:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani dhidi ya Iran ya Kiislamu na kusema: "Taifa la Iran halijawahi na halitasalimu amri mbele ya mashinikizo."
-
Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi
May 25, 2019 21:55Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.
-
Zarif: Iran itashuhudia mwisho wa Trump, na wala si kinyume chake
May 25, 2019 00:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itabakia hai kushuhudia hatima ya Rais Donald Trump wa Marekani na wala si kinyume chake.
-
Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington
May 24, 2019 23:02Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif akutana na Waziri Mkuu wa Pakistan mjini Islamabad
May 24, 2019 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko safarini nchini Pakistan, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa nchi hiyo mjini Islamabad.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vimevuruga mfumo wa dunia
May 24, 2019 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya Marekani vinalenga kuvuruga mfumo na nidhamu ya kimataifa.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litamfanya adui ajute
May 23, 2019 23:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kwa mara nyingine, taifa la Iran litamfanya adui ajute katika vita vya kiuchumi."
-
Seneta: Trump anatumia Iran kama kisingizio cha kuiuzia Saudia mabomu zaidi
May 23, 2019 23:13Seneta mmoja wa Marekani ameonya kuwa, yumkini Rais Donald Trump akatumia kisingizio cha taharuki kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kisingizo cha kuiuzia Saudi Arabia mabomu mapya, bila idhini ya Kongresi ya nchi hiyo.
-
Meja Jenerali Baqeri: Jeshi la Iran linafuatilia nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
May 23, 2019 23:12Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi la Iran linafuatilia kwa karibu nyendo na harakati za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.