-
Uganda yaomba kushirikiana zaidi na Iran katika sekta ya kilimo
Oct 27, 2018 12:11Waziri wa Kilimo wa Uganda Vincent Ssempijja amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa katika sekta ya kilimo, hivyo ametaka mashirika ya kilimo ya Iran yawekeze nchini humo na pande mbili kushirikiana zaidi katika miradi ya kilimo.
-
Trump azidi kupata pigo; Iran na Ulaya kufungua kanali maalumu ya mabadilishano ya fedha za kigeni
Oct 27, 2018 04:03Siasa za Marekani za kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimezidi kupata pigo baada ya nchi za Ulaya na Tehran kuamua kufungua kanali maalumu ya kifedha kwa ajili ya wasafirishaji nje bidhaa wa pande hizi mbili.
-
Iran: Trump ni mwanagenzi wa hali ya Mashariki ya Kati
Oct 26, 2018 21:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump ni mwanagenzi na hana welewa wa kutosha kuhusu hali ya Mashariki ya Kati wala historia, sifa maalumu za watu wake na pia matukio ya miaka ya hivi karibuni ya eneo hili.
-
"Uwezo wa kujihami Iran ni kwa maslahi ya kuzuia vita Mashariki ya Kati"
Oct 26, 2018 11:49Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa kujihami ni kwa shabaha ya kuzuia vita katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Iran yaitaka dunia iheshimu uamuzi wa ICJ dhidi ya Marekani
Oct 26, 2018 10:31Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaka nchi zote huru duniani kufungamana na uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), kwa kutouinga mkono Marekani kuiwekea vikwazo Tehran.
-
Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq
Oct 26, 2018 10:08Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.
-
Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu
Oct 26, 2018 01:19Vijana wanamapinduzi wa Iran wametoa wito wa kuimarishwa Umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana na njama za Marekani na Israel.
-
Marekani yashindwa kuiwekea vikwazo kamili vya kibenki Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 25, 2018 04:35Viongozi wa Marekani wamesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump hatimaye itairuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuweza kuendeleza mawasiliano yake ya kibenki kupitia mfumo wa SWIFT na kustafidi na huduma za utumaji fedha kimataifa.
-
Balozi wa Iran Russia: Nchi nyingi zinajitenga na utegemezi wa kiuchumi wa Marekani
Oct 23, 2018 23:22Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema kuwa, nchi nyingi za dunia kwa kutegemea uchumi wao wa kitaifa, zinafanya juhudi za kuacha kutegemea uchumi wa Marekani.
-
Zarif: Iran inao uwezo wa kuuza mafuta na kulinda uchumi wake
Oct 23, 2018 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inao uwezo wa kuuza mafuta yake na pia kulinda vyema uchumi wake.