-
Khatibzadeh: Marekani haiwezi kuwa na machaguo mawili kwa wakati mmoja
Apr 10, 2021 23:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisisitiza kuwa, Marekani haiwezi kuwa na machaguo mawili kwa wakati mmoja.
-
Rouhani: Vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu
Apr 01, 2021 02:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendelezwa vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu.
-
Tehran: Vikwazo vya Marekani vimekiuka haki za raia wa Iran
Mar 04, 2021 03:25Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa vikwazo vya upande mmoja, haramu na vya kidhalimu vya Marekani vimekiuka haki za taifa la Iran na nchi hiyo haina haki ya kuzungumzia au kuwa na wasiwasi kuhusu haki za binadamu nchini Iran.
-
Iran: Hatuoni mabadiliko yoyote katika vitendo vya Marekani
Feb 25, 2021 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haioni mabadiliko yoyote katika vitendo vya Marekani licha ya rais mpya kuingia madarakani nchini humo
-
Khatibzadeh: Iran haijafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani
Feb 22, 2021 04:34Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakujafanyika mazungumzo ya moja kwa moja baina ya taifa hili na Marekani na kwamba, maelezo yanayobainishwa na kuonyesha kama kumekuweko na mazungumzo ya moja kwa moja baina ya Tehran na Washington hayana ukweli wowote.
-
Zarif: Marekani inapaswa kuondoa bila masharti yoyote vikwazo vyote vilivyowekwa na Trump
Feb 19, 2021 10:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani inapaswa kuondoa bila masharti yoyote na kwa namna iliyo athirifu vikwazo vyote vilivyorejeshwa upya na kutekelezwa na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump.
-
Marekani yaondoa madai ya kurejeshwa vikwazo vya UN dhidi ya Iran
Feb 19, 2021 04:21Mwakilishi wa muda wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la umoja huo na kuondoa madai ya serikali iliyotangulia ya nchi hiyo kuhusu kurejejeshwa vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
-
Marekani: Tutakubali wito wa Ulaya wa kushiriki kikao cha 5+1 na Iran
Feb 19, 2021 03:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Marekani amesema kwamba nchi hiyo itaitikia wito wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kushiriki kikao cha kundi la 5+1 na Iran
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aunga mkono madai ya Marekani dhidi ya Iran
Dec 09, 2020 04:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka Iran irejee katika majukumu yake yake ndani ya mapatano ya JCPOA ikiwa ni kuonesha waziwazi kusalimu amri kwake mbele ya siasa za upande mmoja za White House kwani Iran ilichukua hatua za kupunguza ahadi zake ndani ya JCPOA Marekani ya kujitoka katika mapatano hayo ya nyuklia.
-
Madai ya Bolton kuhusu juhudi zinazofanywa na Trump kufikia mapatano na Iran
Nov 19, 2020 08:34Mashauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani, bila ya kuashiria siasa za uadui wa nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amedai kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo anataka kufanya mazungumzo na Iran.