Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Mar 09, 2022 07:12

    Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kujenga vitongoji katika kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Imarati, kwa ajili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel; zaidi ya mwaka mmoja baada ya tawala hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kawaida.

  • IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria

    IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria

    Mar 09, 2022 06:54

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema hakuna shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa kwa jinai yake ya kutekeleza shambulizi lililopelekea kuuawa shahidi askari wawili wa SEPAH nchini Syria.

  • Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria

    Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria

    Mar 09, 2022 06:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.

  • Mbunge: Ubeberu na uzayuni zinataka kuigawa Morocco katika maeneo matano madogo

    Mbunge: Ubeberu na uzayuni zinataka kuigawa Morocco katika maeneo matano madogo

    Mar 07, 2022 04:35

    Mwakilishi wa Bunge la Morocco amesema kuwa, ubeberu na uzayuni zinafanya njama za kuigawa nchi hiyo katika maeneo matano madogo.

  • HAMAS: Israel inacheza na moto kwa kuwakandamiza mateka Wapalestina

    HAMAS: Israel inacheza na moto kwa kuwakandamiza mateka Wapalestina

    Mar 03, 2022 23:12

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unacheza na moto kwa kuzidisha mbinyo na ukandamizaji dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala huo pandikizi. 

  • Iran yaitaka dunia ikomeshe jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Iran yaitaka dunia ikomeshe jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Feb 20, 2022 04:33

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka za kuuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel kuendelea kufanya jinai na uhalifu dhidi ya Wapalestina.

  • Wanamichezo wa Jordan wasusia mashindano yaliyowashirikisha Wazayuni

    Wanamichezo wa Jordan wasusia mashindano yaliyowashirikisha Wazayuni

    Feb 20, 2022 04:19

    Makundi yanayoliunga mkono taifa la Palestina huko Jordan yamepongeza hatua ya wanamichezo wa nchi hiyo na nyingine za Kiarabu ya kukataa kushiriki mashindano ya magari ya Baja Rally ya Jordan kutokana na waanndaaji wa mashindano hayo kuwashirikisha pia Waisraeli.

  • Afrika Kusini yataka Israel ichukuliwe hatua kwa jinai zake za 'apartheid'

    Afrika Kusini yataka Israel ichukuliwe hatua kwa jinai zake za 'apartheid'

    Feb 18, 2022 07:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mienendo yake ya ubaguzi wa rangi wa apartheid.

  • Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria

    Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria

    Feb 17, 2022 04:33

    Rais wa Algeria amesema kuwa Israel na Morocco zinafanya njama ya kuibua hitilafu kati ya Ofisi ya Rais na Jeshi la Algeria na kuzusha fitna nchini humo.

  • Bendera za Israel zateketezwa kwa moto Bahrain kulaani safari ya Bennett

    Bendera za Israel zateketezwa kwa moto Bahrain kulaani safari ya Bennett

    Feb 16, 2022 23:07

    Waandamanaji wenye hasira nchini Bahrain wameteketeza kwa moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani safari ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Naftali Bennet katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS