-
Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo
Jun 15, 2019 00:11Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.
-
Zarif: Imarati inajaribu kuwa Israel ya pili katika Mashariki ya Kati
Jun 12, 2019 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na televisheni ya al Arabi kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia mabilioni ya dola kununua silaha huku ukifanya jitihada za kujaribu kuwa Israel ya pili katika eneo.
-
Ripoti: Israel ilifanya ujasusi kwa niaba ya Kabila wa DRC
Jun 11, 2019 02:49Uchunguzi uliofanywa na kanali moja ya televisheni ya Israel umefichua kuwa, shirika la kijasusi la utawala huo haramu la 'Black Cube' lilikodiwa na aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila kwa ajili ya kufuatilia nyendo za wapinzani na wakosoaji wake.
-
Zarif aikosoa Mossad ya Israel kwa kuituhumu Iran kwa ulipuaji wa meli za mafuta al-Fujairah, UAE
Jun 05, 2019 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali 'taarifa za kiintelijensia' za Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad zinazodai kwamba Iran imehusika na kulipuliwa meli za mafuta katika Bandari ya al-Fujairah huko Umoja wa Falme za Kiarabu, akisisitiza kuwa amewahi kutoa indhari huko nyuma kuhusu kupikwa njama za kutaka kuibua taharuki katika eneo.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Israel ilihusika na ulipuaji wa meli za mafuta al Fujairah
Jun 03, 2019 21:58Afisa wa Kamisheni ya Kimataifa ya Haki za Binadamu katika eneo la Asia magharibi amesema kuwa, eneo kulikotokea milipuko ya meli za mafuta katika Bandari ya al Fujairah linadhibitiwa na askari wa Marekani, na utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika milipuko ya bandari hiyo huko Imarati.
-
Idadi ya wahamiaji wa Kizayuni wanaokimbia kutoka Israel yaongezeka
Jun 02, 2019 03:10Vyombo vya utawala haramu wa Kizayuni vimetangaza ongezeko la uhajiri wa walowezi wa Kizayuni kutoka ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Jeshi katili la Israel lawaua shahidi Wapalestina katika Siku ya Quds
May 31, 2019 23:27Kwa akali Wapalestina wawili waliuawa shahidi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Ijumaa, wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni sehemu ya Saudia kuitumikia Israel
May 31, 2019 23:11Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain mwishoni mwa mwezi huu wa Juni ni sehemu ya kujidhalilisha na kujipendekeza utawala wa Aal-Saud wa Saudia Arabia kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Netanyahu apata pigo la kihistoria, uchaguzi mpya waitishwa Israel
May 30, 2019 06:57Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, limepiga kura ya kujivunja baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya mseto na hivyo kulazimika kuitisha uchaguzi mpya.
-
Kamisheni: Israel imewakamata watoto 16,500 wa Kipalestina
May 26, 2019 23:52Ripoti mpya imefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni watoto 16,500 tangu ilipoanza Intifadha ya Pili mwishoni mwa mwaka 2000.