Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    May 25, 2019 05:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar sambamba na kukosoa mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain, imesema matakwa ya wananchi wa Palestina lazima yajumuishe kwenye mipango yoyote ya amani na maendeleo inayowahusu.

  • Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    May 22, 2019 03:39

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imekosoa vikali mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain ikisisitiza kuwa kongamano hilo halina lengo jingine ghairi ya kuandaa mazingira ya kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano kati ya Waarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    May 21, 2019 23:13

    Serikali ya Jordan imetakiwa kutoshiriki mkutano wa Marekani wenye lengo la kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.

  • Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    May 21, 2019 09:30

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha utawala huo wa Kizayuni.

  • Visa vya Wazayuni kuwagonga kwa gari Wapalestina kwa makusudi vyaongezeka

    Visa vya Wazayuni kuwagonga kwa gari Wapalestina kwa makusudi vyaongezeka

    May 21, 2019 09:26

    Mlowezi wa Kizayuni amemgonga kwa gari Mpalestina kwa makusudi na kumuua shahidi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.

  • Ukosoaji wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusu BDS

    Ukosoaji wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusu BDS

    May 21, 2019 00:12

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imeukosoa uamuzi wa serikali ya Ujerumani wa kupiga marufuku nchini humo shughuli za Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala haramu wa Israel BDS na kusema kuwa uamuzi huo si wa kisheria.

  • Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    May 20, 2019 06:33

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.

  • Makundi ya muqawama Palestina: Lengo letu ni kuufuta kabisa utawala haramu wa Israel

    Makundi ya muqawama Palestina: Lengo letu ni kuufuta kabisa utawala haramu wa Israel

    May 15, 2019 09:43

    Wawakilishi wa harakati za muqawama wa Palestina nchini Iran, wamesema kuwa lengo la makundi ya wanamapambano wa Kipalestina ni kuufuta kabisa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye uso wa dunia.

  • Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi

    Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi

    May 14, 2019 03:22

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo chimbuko la migogoro yote ya kibinadamu katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

  • Mohammad Shtayyeh: Israel inataka kuwasahaulisha walimwengu umuhimu wa Quds

    Mohammad Shtayyeh: Israel inataka kuwasahaulisha walimwengu umuhimu wa Quds

    May 13, 2019 09:57

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, lengo la utawala wa Kizayuni la kuushambulia Ukanda wa Ghaza ni kutaka kuwasahaulisha walimwengu jinai zake na umuhimu wa mji mtakatifu wa Quds.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS