-
Uturuki: Tawi la shirika letu la habari Gaza limehujumiwa kwa kufichua maovu ya Israel
May 12, 2019 02:24Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema ofisi ya shirika la habari la nchi hiyo la Anadolu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeshambuliwa na jeshi la utawala haramu wa Israel kwa kufichua 'kazi chafu' na maovu ya utawala huo.
-
Dawa zilizotengenezwa Israel zakutwa mikononi mwa magaidi huko Syria
May 11, 2019 22:06Idadi kubwa ya dawa, silaha na zana za kijeshi zilizoundwa katika utawala wa Kizayuni na kupewa magaidi zimenaswa wakati wa kuwafurusha magaidi hao huko kusini mwa Syria.
-
OIC yaitaka Israel ikabidhi maeneo yote iliyoghusubu ikiwemo Golan
May 11, 2019 03:21Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukabidhi maeneo yote ulioyaghusubu ikiwemo Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na Wazayuni kuelekea Siku ya Nakba
May 11, 2019 03:18Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la Maandamano ya Haki ya Kurejea, huku maadhimisho ya Siku ya Nakba ya kumbukumbu ya mwaka wa 71 tangu kukaliwa kwa mabavu Palestina yakijongea.
-
UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu
May 09, 2019 08:03Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina waishukuru Iran kwa kuinua uwezo wa kijeshi wa muqawama
May 09, 2019 00:01Msemaji Rasmi wa Brigedi ya Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa utumiwaji wa makombora aina ya Badr 3, unaonyesha ustawi wa uwezo katika sekta ya kijeshi ya muqawama wa Palestina.
-
Harakati ya Nujaba ya Iraq: Tutaendelea kupambana na Marekani na utawala haramu wa Israel
May 07, 2019 20:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujaba nchini Iraq ameitaja Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kuwa chanzo cha shari duniani na kusisitiza kwamba wataendeleza mapambano yao dhidi ya shari hizo.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina
May 07, 2019 03:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchua hatua zote kuhakikisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.
-
Ripoti: Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka maradufu nchini Marekani
May 03, 2019 09:04Ripoti mpya inaonesha kuwa mashambulizi na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi nchini Marekani yameongezeka maradufu.
-
Hizbullah: Israel itaangamia ikithubutu kuishambulia Lebanon
May 03, 2019 03:15Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ameutahadharisha utawala wa Tel Aviv dhidi ya kuanzisha vita vipya dhidi ya Lebanon na kusisitiza kuwa, wanajeshi wa utawala haramu wa Israel watasambaratishwa na kuangamizwa iwapo vita hivyo vitaibuka.