Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Hizbullah: Saudia inagharamia jinai za Marekani na Israel Asia Magharibi

    Hizbullah: Saudia inagharamia jinai za Marekani na Israel Asia Magharibi

    Apr 29, 2019 02:28

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) ameitaja Saudi Arabia kama mzizi wa ukosefu wa uthabiti katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa kifalme ndio unaofadhili na kugharamia jinai zinazofanywa na Marekani na utawala haramu wa Israel katika eneo.

  • Netanyahu aipongeza Imarati kwa kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai

    Netanyahu aipongeza Imarati kwa kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai

    Apr 26, 2019 22:10

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameupongeza Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kuualika utawala huo haramu kushiriki katika Maonyesho ya Dubai ya 2020.

  • Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani

    Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani

    Apr 19, 2019 23:54

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo kikuu cha ugaidi na uharibifu katika eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.

  • Wazayuni washiriki kinyemela mkutano wa biashara nchini Bahrain

    Wazayuni washiriki kinyemela mkutano wa biashara nchini Bahrain

    Apr 18, 2019 09:12

    Imebainika kuwa, ujumbe wa kibiashara na kisiasa wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshiriki kwa siri kubwa Mkutano wa Kimataifa wa Kiuchumi wa Manama nchini Bahrain licha ya waandalizi wa mkutano huo kudai kuwa Wazayuni hao hawataushiriki kutokana na sababu za kiusalama.

  • Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Apr 13, 2019 03:35

    Rais Donald Trump ameionya vikali Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ngao ya anga ya Syria yatungua makombora ya Israel

    Ngao ya anga ya Syria yatungua makombora ya Israel

    Apr 13, 2019 03:00

    Syria imetangaza kuwa, mfumo wa ulinzi wa anga wa jeshi la nchi hiyo umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mji wa Hama.

  • Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Apr 12, 2019 00:01

    Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliongoza genge la walowezi wa Kizayuni katika kushambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.

  • Wizara: Israel inatumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina

    Wizara: Israel inatumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina

    Apr 09, 2019 10:08

    Msemaji wa Wizara ya Afya ya Gaza amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika ukanda huo.

  • Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Apr 08, 2019 03:27

    Uturuki imekosoa vikali matamshi wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa iwapo ataibuka mshindi katika uchaguzi mkuu ujao, basi atauunganisha rasmi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo mengine ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu, chini ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".

  • Msimamo wa Oman wa kuiunga mkono Israel wakosolewa na Jordan

    Msimamo wa Oman wa kuiunga mkono Israel wakosolewa na Jordan

    Apr 07, 2019 11:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan ametoa jibu kwa matamshi ya waziri mwenzake wa Oman ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, tatizo kuu ni ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS