-
Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza
Jun 09, 2018 03:18Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel
Jun 08, 2018 02:57Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema harakati za muqawama wa Palestina zimeudhoofisha utawala wa Kizayuni, na kuandaa mazingira ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Tel Aviv.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya
Jun 04, 2018 23:21Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.
-
Ziara ya barani Ulaya ya Netanyahu, na shabaha ya kuivuruga JCPOA
Jun 04, 2018 22:35Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala dhalimu wa Kizayuni ambaye alimchochea rais wa Marekani, Donald Trump, ajitoe katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa ameamua kuzifungia safari nchi za Ulaya kwa ajili ya kuzichochea ili nazo zijitoe kwenye mapatano hayo.
-
Ndege za Israel zinaisaidia Saudia katika hujuma dhidi ya Yemen: Ansarullah
Jun 03, 2018 10:25Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen Sayyid Abdul-Malik Badruddin al-Houthi amefichua kuwa ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimeonekana zikiruka katika anga ya Bandari ya Hudaydah katika Bahari ya Sham nchini humo.
-
NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran
Jun 03, 2018 02:54Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umesema hautaupa himaya utawala haramu wa Israel iwapo utashambuliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Kitendo cha Israel kumuua muuguzi wa Kipalestina ni fedha juu fedheha
Jun 03, 2018 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua shahidi muuguzi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza, na kuutaja ukatili huo kama doa jingine kwa utawala huo haramu.
-
Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa
Jun 02, 2018 09:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid Muallem, amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walioko Syria waliingia nchi hiyo kwa mwaliko maalumu wa serikali ya nchi hiyo na uwepo wao huo ni wa kisheria.
-
Iran: Hatutairuhusu Israel iufanye mwanasesere usalama wetu
Jun 02, 2018 03:32Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema katu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitouruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuufanya mwanasesere usalama wake.
-
Mtaalamu wa Israel afichua: Israel inaiuzia Saudia taarifa za utaalamu wa silaha za nyuklia
Jun 01, 2018 03:14Mtaalamu mwandamizi wa masuala ya nyuklia wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kwamba utawala huo unaiuzia Saudi Arabia taarifa ambazo zitaiwezesha nchi hiyo ya kifalme kuunda silaha za maangamizi za nyuklia.