-
Zarif: Iran itafuata nyayo iwapo US itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia
Apr 25, 2018 07:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuna uwezekano mkubwa Iran itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo Marekani itaamua kujivua kwenye mapatano hayo ya kimataifa ya mwaka 2015.
-
Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran
Apr 20, 2018 07:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Tehran ina hatua kadhaa ambazo inaweza kuchukua ambazo zitaifanya Marekani ijute kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Zarif awasili Brazil baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Senegal
Apr 10, 2018 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Brazil mapema leo Jumanne katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadha za Afrika na Amerika ya Latini.
-
Zarif aanza safari ya kuzitembelea nchi za Afrika, Amerika ya Latini
Apr 08, 2018 07:52Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran leo Jumapili ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na Amerika ya Latini.
-
Zarif aimbia NAM; Israel ndiyo tishio kuu kwa usalama wa dunia
Apr 05, 2018 14:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia huku akitoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa kimataifa juu ya jinai za utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Iran: Hatuna chuki na Saudia; iwapo itavamiwa, Tehran itakuwa ya kwanza kuihami
Mar 13, 2018 08:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwa bahati mbaya ikitokea Saudi Arabia ikabiliwe na uvamizi wa maajinabi au ugaidi, Tehran itakuwa ya kwanza kujitokeza kuihami na kuisaidia.
-
Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq
Dec 03, 2017 14:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Magharibi zitoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini wimbi la watoto wanaozaliwa, kulelewa na kupata elimu katika nchi hizo ndio wanaoongoza katika mauaji yanayofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) dhidi ya watoto wa Syria na Iraq.
-
Iran yalaani vikali hujuma ya kigaidi msikitini Misri
Nov 25, 2017 07:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hujuma ya kigaidi wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri.
-
Zarif akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini, wajadili uhusiano wa pande mbili
Oct 24, 2017 14:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini mjini Pretoria.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko safarini Afrika Kusini
Oct 22, 2017 14:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif leo amewasili Afrika Kusini katika safari yake ya kuzitimbelea nchi kadhaa za bara Afrika.