-
Marekani yakiri Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia
Jul 18, 2017 03:12Serikali ya Marekani imetangaza kuwa, Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia yaliyotiwa saini baina ya Tehran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA.
-
Antonio Guterres aipongeza Iran kwa kufungamana kikamilifu na JCPOA
Jul 15, 2017 08:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na kufungamana kwake kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Miaka miwili ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani yaendelea kuyakiuka
Jul 15, 2017 01:43Sambamba na kutimu mwaka wa pili tangu Iran na nchi wanachama wa kundi la 5+1 zilipotia saini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza tena udharura wa Marekani kuheshimu na kutekeleza makubaliano hayo na kusema kuwa, JCPOA ni makubaliano ya kimataifa.
-
Iran: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayatafanyiwa mabadiliko yoyote
Jun 30, 2017 23:34Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA hayatofanyiwa marekebisho yoyote yale.
-
Mtazamo mzuri wa Baraza la Usalama kuhusu JCPOA licha ya uchochezi wa Marekani
Jun 30, 2017 21:47Ripoti ya tatu ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran na nchi sita kuu za dunia katika Baraza la Usalama imewasilishwa katika kalibu ya azimio 2231 ambapo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imethibitishwa kutekeleza ahadi zake zote katika uwanja huo.
-
Mogherini: Marekani itafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran
Jun 13, 2017 08:53Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amesema pamoja na kuwepo malalamiko ya serikali ya Marekani kwa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1, ana matumaini kuwa Washington itayatekeleza kwani ni ya kimataifa.
-
Kerry: Makubaliano ya JCPOA hayahitaji baraka za Marekani
Jun 06, 2017 23:18Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani amesema makubaliano ya nyuklia ya Iran yanaweza kuendelea kusimama imara na kutekelezwa pasina na ushiriki wa Washington.
-
Mogherini: EU na Russia zina msimamo mmoja kuhusu JCPOA
May 15, 2017 03:26Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU na Russia zina msimamo mmoja katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
EU yayataja makubaliano ya nyuklia ya Iran kama 'hatua kubwa'
May 10, 2017 03:08Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kuungwa mkono na kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia ya Vienna sambamba na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wake.
-
Ulaya: Tutaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia na Iran
Apr 30, 2017 23:42Kamishna wa Masuala ya Nishati wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, wanachama wa Umoja huo wataendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA.