-
Rais wa China ayataka majeshi yajizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita
Oct 20, 2024 02:46Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa majeshi ya nchi hiyo kujizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita, siku chache baada ya Beijing kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi kuzunguka kisiwa chaTaiwan.
-
Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani
Oct 17, 2024 02:54Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mkutano wa Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Pakistan ameitaka jumuiya hiyo kuwa jadi na kuchukua hatua madhubuti dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani. Amezitaka nchi wanachama wa Shanghai kuchukua hatua za kivitendo ili kukabiliana na vikwazo vya kibiashara vya pande zote.
-
Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka
Sep 10, 2023 07:56Kufuatia uanachama kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, ujumbe kutoka Iran umeshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa 40 wa Baraza la Muundo wa Kieneo wa Kupambana na Ugaidi la jumuiya hiyo.
-
Rais Raisi: Jumuiya ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mashirikiano
Jul 04, 2023 11:46Rais Ebrahim Raisi amesema Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mchakato wa kupanua mashirikiano ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhutubia Mkutano wa Wakuu Jumuiya ya Shanghai
Jul 04, 2023 04:35Rais wa Iran ambaye ni miongoni mwa wanachama wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atahutubia Mkutano wa 23 wa Wakuu wa jumuiya hiyo utakaofanyika kwa njia ya intaneti huko New Delhi.
-
Azma ya Tunisia ya kujiunga na Jumuiya Ushirikiano ya Shanghai (SCO)
Apr 09, 2023 08:00Msemaji wa chama cha Harakati ya Julai 25 chenye mfungamano na Rais wa Tunisia amesema kuwa nchi hiyo inajipanga kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Hatua ya kwanza ya Saudi Arabia kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Apr 01, 2023 13:48Baraza la Mawaziri la Saudi Arabia limeidhinisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Shanghai afanya mazungumzo na Rais wa Iran
Sep 15, 2022 11:02Zhang Ming Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai leo Alhamisi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Samarkand.
-
Kuchunguzwa uanachama wa Iran na upanuzi wa Jumuiya ya Shanghai
Jun 22, 2022 01:16Kufuatia ufuatiliaji wa viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO pamoja na kufanyika vikao vya mfululizo vya jumuiya hiyo katika ngazi mbalimbali, bila shaka jumuiya hiyo sasa inabadilika na kuwa muungano mkubwa katika bara kubwa la Asia na vilevile duniani.
-
Kuongezeka miamala ya kibiashara kati ya Iran na wanachama wa Jumuiya ya Shanghai
May 03, 2022 04:46Ushirikiano wa Iran na nchi za ukanda huu ambao ni katika siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu hasa katika serikali ya hivi sasa, umezaa matunda mengi mazuri yakiwemo ya kuongezeka mabadilishano ya kibiashara baina ya Tehran na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.