-
Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki
Jan 19, 2019 16:37Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo maalumu wa kubadilishana fedha na Iran maarufu kwa jina la SPV na kusema kuwa, kisingizio kinachotolewa na nchi hizo cha kwamba haziwezi kuyalazimisha mashirika ya nchi zao, hakikubaliki kabisa.
-
Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama
Nov 12, 2018 08:17Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amesema kuwa Marekani imezidisha tu matatizo ya kiuaslama kwa Afghanistan baada ya kuweko nchini humo kwa muda wa miaka 17.
-
Kharrazi: Wananchi wa Iran wamesimama kidete dhidi ya mashinikizo ya Marekani
Nov 10, 2018 02:36Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko matatizo hapa nchini yanayotokana na vikwazo vya Marekani, lakini wananchi wa Iran wako pamoja na wamesimama kidete kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya Washington.
-
Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran
Sep 11, 2018 07:32Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani inatekeleza sera zake dhidi ya Iran kwa kutumia mabavu, ubabe na vitisho.
-
Kamal Kharrazi: Ulimwengu usimame na kukabiliana na ubeberu wa Marekani
Jul 16, 2018 03:38Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa hili ni vya kidhulma na kuongeza kwamba, jamii ya kimataifa inapaswa kusimama kidete na kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Dakta Kharrazi: Makundi ya kigaidi yanahamishiwa Afghanistan na kaskazini mwa Afrika
Jul 15, 2018 14:08Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema kuwa, baada ya makundi ya kigaidi kushindwa huko Syria na Iraq sasa yanahamishiwa katika maeneo mengine hususan Afghanistan na kaskazini mwa Afrika.
-
Dakta Kharrazi: Vitendo vya kibabe vya Marekani vimesababisha ukosefu wa usalama Mashariki ya Kati
Jul 11, 2018 08:13Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema kuwa, uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi nyingine na miamala ya kibabe ya Marekani na utawala haramu wa Israel kuhusiana na Wapalestina ni mambo muhimu ambayo yamechangia mno kukosekana amani na uthabiti katika eneo la magharibi mwa Asia (Mashariki ya Kati)
-
Rais Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa Syria
Jan 22, 2018 03:03Rais wa Syria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uungaji mkono wake kwa taifa la Syria na kusema: "Istikama ya wanajeshi Wairani na waitifaki wao katika medani ya vita ni jambo ambalo limetoa mchango mkubwa katika ushindi wa jeshi na taifa la Syria."
-
Iran na Syria zasisitizia suala la umoja wa Waislamu
Jan 21, 2018 03:10Mkuu wa Baraza la Stratijia za Uhusiano wa Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mufti Mkuu wa Syria wamesisitizia suala la umoja miongoni mwa Waislamu.
-
Kamal Kharrazi: Mgogoro wa Lebanon unatokana na uchochezi wa Saudia
Nov 11, 2017 07:39Kamal Kharrazi, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran ambaye hivi sasa ni mkuu wa Baraza la Stratijia za Uhusiano wa Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mgogoro wa hivi sasa wa kisiasa wa Lebanon unatokana na uchochezi wa wazi wa Saudi Arabia.