-
Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA
Jun 13, 2021 21:55Balozi wa Iran nchini Kenya amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa uzoefu wake kampuni za kitaalamu za Kenya, na kuunda jukwaa la kubadilishana mawazo juu ya masuala ya teknolojia.
-
Kenya yairuhusu tena Somalia itumie anga yake
Jun 11, 2021 08:09Kenya imetoa idhini tena anga yake itumike kwa aili ya safari za ndege kwenda na kutoka Somalia huku kukiwa na matumaini kwamba, uhusiano wa nchi hizo mbili utarejea katika hali ya kawaida.
-
Amisom kuchunguza kikamilifu madai kwamba KDF inaua raia wa Somalia
Jun 06, 2021 03:25Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) umeahidi kuchunguza madai yanayosema kwamba, Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limewaua raia katika eneo la Gedo nchini Somalia katika shambulizi la anga dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab.
-
Somalia yadai jeshi la Kenya linaua raia katika hujuma zake za anga
Jun 05, 2021 21:57Serikali ya Somalia kwa mara nyingine tena imekosoa vikali kile ilichodai kuwa ni tabia ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuua raia wa Kisomali katika mashambulizi yake ya anga katika eneo la Gedo, jimbo la Jubaland kusini mwa Somalia.
-
Kenya na Burundi zakubaliana kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jun 01, 2021 03:48Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake wa Burundi, Evariste Ndayishimiye wamesaini mapatano ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa Nairobi na Bujumbura katika nyuga mbalimbali.
-
Safaricom ya Kenya yapata leseni ya kuendesha shughuli nchini Ethiopia
May 22, 2021 12:22Halmashauri ya Mawasiliano ya Ethiopia imelipatia shirika la Safaricom la Kenya leseni ya kutoa huduma za simu za mkononi nchini humo, hii ikiwa ni mara ya kwanza shirika lisilo la kiserikali kupewa leseni kama hiyo nchini Ethiopia.
-
Mahakama Kuu ya Kenya yapinga mpango wa BBI wa kubadili katiba
May 14, 2021 07:16Mahakama ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba, mageuzi ya kikatiba yanayopigiwa debe na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi mkuu wa upinzani, Raila Odinga ni kinyume na sheria.
-
Tanzania yaonya kuhusu Corona ya India, spishi hiyo yaripotiwa Kenya na Uganda
May 07, 2021 03:29Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetadharisha juu ya kuibuka na kuenea kwa spishi mpya ya ugonjwa wa Covid-19 ya India katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Somalia yahuisha uhusiano wake na Kenya baada ya kupita karibu nusu mwaka
May 07, 2021 03:15Somalia imetangaza habari ya kurejesha uhusiano wake na Kenya baada ya kuukata karibu miezi sita iliyopita, ikiituhumu serikali ya Nairobi kuwa inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Tanzania, Kenya zaafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi
May 04, 2021 10:30Kenya na Tanzania zimefikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi aina ya LPG kutoka Dar es Salaam kwenda Mombasa.