Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake

    Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake

    Nov 25, 2017 00:52

    Rais Uhuru Kenyatta amemualika 'ndugu yake' Raila Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake zikatazofanyika katika mji mkuu Nairobi Jumanne ijayo ya Novemba 28.

  • Kuendelea mivutano baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta

    Kuendelea mivutano baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta

    Nov 21, 2017 11:10

    Baada ya kupita wiki kadhaa tangu ulipofanyika uchaguzi wa marudio wa rais wa Kenya na kufuatia kesi zilizofunguliwa mahakamani kutaka matokeo ya uchaguzi huo yabatilishwe, Mahakama ya Juu ya nchi hiyo imetupilia mbali kesi hizo na kuthibitisha ushindi wa Uhuru Kenyatta katika uchaguzi huo.

  • Rais Rouhani wa Iran ampongeza Rais Kenyatta wa Kenya kwa kuchaguliwa tena

    Rais Rouhani wa Iran ampongeza Rais Kenyatta wa Kenya kwa kuchaguliwa tena

    Nov 21, 2017 04:15

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ujumbe wa kumpongeza kufuatia kuchaguliwa tena kuwa rais wa Kenya.

  • Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Nov 20, 2017 11:11

    Mahakama ya Kilele nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizokuwa zimewasilishwa kupinga uchaguzi wa rais wa marudio wa Oktoba 26 na hivyo kuidhinisha ushindi wa Uhuru Kenyatta.

  • Jeshi Kenya laua waandamanaji watatu, magari kadhaa yachomwa, Raila arejea nchini

    Jeshi Kenya laua waandamanaji watatu, magari kadhaa yachomwa, Raila arejea nchini

    Nov 17, 2017 13:20

    Watu watatu wameuawa hii leo wakati jeshi la polisi la Kenya lilipojaribu kutawanya waandamanaji waliokusanyika kupokea msafara wa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga aliyerejea nchini mapema leo akitokea nje ya nchi.

  • Mahakama ya Juu ya Kenya kusikiliza kesi ya kupinga uchaguzi wa marudio wa rais

    Mahakama ya Juu ya Kenya kusikiliza kesi ya kupinga uchaguzi wa marudio wa rais

    Nov 14, 2017 12:57

    Mahakama ya Juu ya Kenya leo imeanza kuchunguza kesi za kupinga uchaguzi wa marudio wa rais uliofanyika mwezi uliopita wa Oktoba ambapo Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta alipata ushindi wa kishindo kufuatia kujiondoa mpinzani wake mkuu Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro hicho.

  • WHO yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa virusi vya Marburg Kenya na Uganda

    WHO yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa virusi vya Marburg Kenya na Uganda

    Nov 11, 2017 12:23

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limewatahadharisha wageni wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mt Elgon juu ya hatari ya kupatwa na ugonjwa wa virusi vya Marburg.

  • Kenya yapinga hatua ya Tanzania kupiga mnada zaidi ya Ng’ombe 1,300

    Kenya yapinga hatua ya Tanzania kupiga mnada zaidi ya Ng’ombe 1,300

    Nov 08, 2017 12:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed ameilalamikia serikali ya Tanzania kufuatia hatua ya taifa hilo kuwapiga mnada zaidi ya ng’ombe 1,300 walioingia nchini humo kinyume na sheria.

  • Usafiri wasitishwa Mandera, Kenya baada ya hujuma ya magaidi wa Al Shabab

    Usafiri wasitishwa Mandera, Kenya baada ya hujuma ya magaidi wa Al Shabab

    Nov 07, 2017 10:54

    Hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab katika Kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya imepelekea usafiri kusitishwa kwa muda wa siku tatu.

  • Eneo la Pwani latoa wito wa kujitenga na ardhi ya Kenya

    Eneo la Pwani latoa wito wa kujitenga na ardhi ya Kenya

    Nov 03, 2017 23:50

    Viongozi wa eneo la Pwani nchini Kenya wametoa mwito wa kutaka kujitenga eneo hilo na ardhi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS