-
Tehran, mwenyeji wa Jumuiya ya Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD).
Jun 26, 2024 02:17Kikao cha 19 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD) kilifanyika Jumatatu hapa mjini Tehran chini ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kikao cha Baraza la Usalama: Uwanja wa makabiliano kati ya waungaji mkono wa Iran na Wamagharibi wanaounga mkono utawala wa Kizayuni.
Apr 16, 2024 07:54Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujadili mashambulizi ya Iran ya kuuadhibu utawala wa Israel kilifanyika Jumapili jioni tarehe 14 Aprili, kikao ambacho kilibadilika na kuwa uwanja wa makabiliano kati ya nchi zinazounga mkono Iran na kambi ya Magharibi waitifaki wa utawala wa Kizayuni.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza
Dec 16, 2023 11:33Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Ulaya umemalizika huku viongozi wa nchi 27 za Ulaya wakishindwa kufikia makubaliano ya pamoja katika taarifa yao ya mwisho kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na matukio ya Gaza.
-
Kikao cha nchi za Kiarabu na Kiislamu cha Riyadh chatoa taarifa rasmi ya maamuzi muhimu kadhaa
Nov 11, 2023 15:28Kikao cha wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia kimetilia mkazo ulazima wa kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza na kuingia misafara ya misaada ya kibinadamu katika eneo hilo.
-
Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza
Oct 19, 2023 10:50Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.
-
Russia yapinga kushiriki Macron katika mkutano wa BRICS
Jun 24, 2023 10:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov alitangaza Alhamisi iliyopita kwamba Moscow haidhani kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ataruhusiwa kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS nchini Afrika Kusini, kwa sababu Paris inatekeleza sera ya chuki dhidi ya Moscow.
-
Mzozo katika kikao cha G20
Mar 07, 2023 02:31Kikao cha kundi la G20 ambacho kiliitishwa kwa kutiliwa mkazo suala la vita vya Ukraine, kimedhihirisha mzozo na hitilafu kubwa zilizopo baina ya nchi wanachama katika masuala tofauti ya kisiasa na kiuchumi kiasi kwamba kikao hicho kilimalizika bila ya kufikiwa makubaliano yoyote.
-
China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran
Nov 04, 2022 02:22China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.
-
Upinzani wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja
Sep 25, 2022 02:12Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa wamedhihirisha upinzani wao dhidi ya vikwazo vya upande mmoja, na kusisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka, ardhi na kujitawala kwa nchi huru. Mawaziri hao wamesisitiza hilo katika mkutano wao uliofanyika kando ya kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Septemba 22 huko New York.
-
Kuendelea ushirikiano wa kiuchumi wa kundi la D-8 katika kikao cha Dhaka
Jul 30, 2022 10:51Duru nyingne ya mkutano wa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi yaani D-8 imefanyika huku Bangladesh ikiwa mwenyeji wa mkutano huo.