-
Russia yaonya US, waitifaki: Msiitishie Russia na Korea Kaskazini
Jul 12, 2025 13:15Moscow imeionya Marekani na waitifaki wake dhidi ya kuzitishia Russia na Korea Kaskazini.
-
Pyongyang yajibu mapigo, yavurumisha makombora baharini
Mar 10, 2025 07:52Korea Kaskazini imevurumisha makombora kadhaa ya balestiki baharini leo Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Korea Kusini na Marekani kuanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya kila mwaka ya pamoja, ambayo Pyongyang inayatazama kama majaribio ya uvamizi.
-
Korea Kaskazini: Tutatoa jibu kali kwa maneva ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani
Mar 08, 2025 23:06Korea Kaskazini imeionya Seoul na kutishia kuchukua hatua kali iwapo mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya kila mwaka kati ya Korea Kusini na Marekani yataendelea katika wiki zijazo.
-
Pyongyang kufanyia majaribio ICBM wakati wa uchaguzi wa US?
Oct 30, 2024 23:03Korea Kusini imesema yumkini Korea Kaskazini itafanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki, lenye uwezo wa kuvuka mabara la ICBM wakati huu wa msimu wa uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine
Apr 30, 2024 03:51Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
-
Kim atabiri: Mashambulio ya Israel yanaandaa mazingira ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia
Oct 28, 2023 23:31Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina yanaandaa mazingira ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Pyongyang: Israel imefanya jinai ya kivita kwa kushambulia hospitali Gaza
Oct 26, 2023 23:00Korea Kaskazini imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 17 na kuua mamia ya wananchi wa Paalestina.
-
Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan
Oct 21, 2023 23:50Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.
-
Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Russia dhidi ya Marekani
Oct 21, 2023 07:58Katika mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, wamejadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wao wa hivi sasa na kusisitiza juu ya makubaliano yao ya kutatua kidiplomasia masuala yenye utata katika Peninsula ya Korea.
-
Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani
Oct 14, 2023 23:02Korea Kaskazini imeitishia Marekani kwamba itaanzisha "shambulio kali zaidi na la haraka zaidi la kujikinga" dhidi ya zana za kijeshi za nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na meli yake ya kivita ya nyuklia iliyoko kwenye maji ya Peninsula ya Korea.