Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Pezeshkian asisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za eneo ili kukabiliana na ugaidi

    Pezeshkian asisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za eneo ili kukabiliana na ugaidi

    Apr 27, 2025 02:54

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna udharura wa kuwepo na ushirikiano thabiti miongoni mwa nchi za eneo hili, ili kwa pamoja ziweze kupambana na zimwi la ugaidi.

  • Benin: Askari wetu waliouawa katika shambulio la karibuni ni 54

    Benin: Askari wetu waliouawa katika shambulio la karibuni ni 54

    Apr 24, 2025 10:37

    Msemaji wa serikali ya Benin, Wilfried Leandre Houngbedji amesema idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo waliouawa katika shambulio la kigaidi lililotokea kaskazini mwa nchi mnamo Aprili 17 ni 54.

  • Interpol yawakamata magaidi 37 Afrika Mashariki

    Interpol yawakamata magaidi 37 Afrika Mashariki

    Jan 27, 2025 12:29

    Polisi ya Kimataifa (Interpol) imesema washukiwa 37 wa ugaidi, wakiwemo kadhaa wanaoaminika kuwa wanachama wa ISIS, wamekamatwa katika kanda ya Afrika Mashariki katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.

  • UN: Mapambano dhidi ya ugaidi barani Afrika yaheshimu haki za binadamu

    UN: Mapambano dhidi ya ugaidi barani Afrika yaheshimu haki za binadamu

    Jan 22, 2025 13:33

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mapambano ya kukabiliana kikamilifu na ugaidi barani Afrika yanapaswa kuhusisha uvumbuzi na mtazamo unaoheshimu haki za binadamu na utawala wa sheria.

  • Magaidi 11 wenye mfungamano na Israel waangamizwa na kutiwa nguvuni mashariki ya Iran

    Magaidi 11 wenye mfungamano na Israel waangamizwa na kutiwa nguvuni mashariki ya Iran

    Nov 13, 2024 12:05

    Msemaji wa mazoezi ya kijeshi ya "Mashahidi wa Usalama" katika Kamandi ya Quds ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametangaza magaidi saba wameangamizwa na wengine saba wametiwa mbaroni kwa kuhusika na hujuma za kigaidi mkoani Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran.

  • Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao ya Shirika la Anga la Uturuki

    Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao ya Shirika la Anga la Uturuki

    Oct 24, 2024 07:28

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi kwenye makao makuu ya Shirika la Anga la Uturuki (TOSASH) mjini Ankara.

  • Shahrivar Nane; Siku ya kupambana na ugaidi nchini Iran

    Shahrivar Nane; Siku ya kupambana na ugaidi nchini Iran

    Aug 29, 2024 07:38

    Leo, Alhamisi, tarehe 8 Shahrivar sawa na Agosti 29, 2024 ni kumbukumbu ya kuuawa shahidi Rais na Waziri mkuu wa Iran, na ni siku ya kitaifa ya kupambana na ugaidi nchini Iran.

  • Magaidi kadhaa wa shambulio la Kerman wauawa, baadhi wakamatwa

    Magaidi kadhaa wa shambulio la Kerman wauawa, baadhi wakamatwa

    Jan 20, 2024 04:03

    Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imesema vikosi vyake vimefanikiwa kuwaangamiza na kuwatia mbaroni magaidi kadhaa wa shambulio la kigaidi la mapema mwezi huu katika mji wa Kerman, kusini mashariki mwa Iran lililopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya watu.

  • Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia

    Museveni: Wanajeshi 54 wa Uganda wameuawa na al-Shabaab Somalia

    Jun 04, 2023 11:32

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema makumi ya askari wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) waliuawa katika shambulio la wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia wiki iliyopita.

  • Jeshi la Nigeria latuhumiwa kuua watoto katika vita dhidi ya ugaidi

    Jeshi la Nigeria latuhumiwa kuua watoto katika vita dhidi ya ugaidi

    Dec 13, 2022 07:23

    Jeshi la Nigeria linatuhumiwa kufanya mauaji makubwa dhidi ya watoto katika operesheni zake za kupambana na magenge ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS