-
Maaskofu wa Kanisa la Uingereza watoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Gaza
Feb 15, 2024 03:03Maaskofu wa Kanisa la Uingereza wametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano katika eneo la Ukanda wa Gaza. Wito huo umetolewa kabla ya shambulio la anga la jeshi la Israel lililosababisha mauaji ya halaiki huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Hakutafikiwa makubaliano bila ya kusimamishwa vita na jeshi la Kizayuni kuondoka Gaza
Feb 02, 2024 14:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa mjibizo kwa mpango uliopendekezwa wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kutangaza kwamba, hakutafikiwa makubaliano bila ya kusimamishwa vita na jeshi la utawala wa Kizayuni kuondoka Gaza.
-
Wananchi Uingereza waendeleza maandamano ya kuiunga mkono Gaza
Jan 21, 2024 02:39Maelfu ya watu nchini Uingereza kwa siku ya 15 mtawalia wamemiminika katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulaani na kupinga jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza.
-
Baada ya kubanwa kila upande Israel, sasa Umoja wa Ulaya waomba kusimamishwa vita Ghaza
Jan 19, 2024 08:10Baada ya utawala wa Kizayuni kubanwa kila upande, kutokea Ghaza hadi kwenye mipaka ya Lebanon na kutokea Iraq hadi Yemen na Bahari Nyekundu, sasa Umoja wa Ulaya umetaka kusimamishwa vita kikamilifu katika Ukanda wa Ghaza na hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa umoja huo unaoiunga mkono kikamilifu Israel, kuomba jambo kama hilo.
-
Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza
Dec 12, 2023 02:39Licha ya matakwa ya kimataifa ya kusitishwa mara moja vita vya mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza, lakini Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, imepinga maombi hayo na inaendelea kuwasha moto wa vita hivyo vya umwagaji damu kwa kutuma silaha za kila aina huko Gaza.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano
Nov 30, 2023 09:43Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.
-
Tel Aviv inataka kuongeza muda wa usitishaji vita
Nov 29, 2023 11:51Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Iisrael (Kan) leo Jumatano imetangaza kuwa Israel inafanya jitiada za kurefusha muda wa usitishaji vita baada ya kumaliza siku mbili zilizoongezwa.
-
Mawaziri wenye misimamo mikali wa Netanyahu: Usitishaji vita wa kudumu ni sawa na kuvunjwa baraza la mawaziri
Nov 29, 2023 07:36Mawaziri wawili wenye misimamo mikali katika baraza la mawaziri la muungano wa Benjamin Netanyahu wamemtishia kwamba watashinikiza kuvunjwa baraza lake la mawaziri endapo usitishaji vita wa kudumu utafikiwa huko Gaza.
-
Makubaliano ya kusitisha vita Gaza yarefushwa kwa siku 2 zaidi
Nov 28, 2023 07:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar na Harakati ya Hamas zimetangaza kuwa, makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza yameongezwa muda kwa siku mbili zaidi, kwa msingi wa masharti yale yale ya awali.
-
Amir-Abdollahian: Uungaji mkono wa Marekani kwa Israel ulisababisha kuendelea kwa vita Gaza
Nov 24, 2023 12:02Waziri wa Mashauriano ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kama si msaada na himaya ya Marekani kwa utawala ghasibu wa Israel, utawala huo bandia haungeweza kuendeleza vita na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS).