-
Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon
May 07, 2018 10:51Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza baada ya kutangazwa matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini humo kwamba: Umoja wa kitaifa ndiyo matunda na mafaniko halisi ya uchaguzi wa bunge; ambayo yamepatikana kufuatia sheria mpya ya uchaguzi.
-
Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon
Apr 29, 2018 10:39Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kwamba, utawala haramu wa Israel umeajiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ripoti: Mohammad Bin Salman anapanga kuhamisha vita kutoka Yemen kwenda Lebanon
Apr 27, 2018 23:27Gazeti la Lebanon la Al Akhbar Mail limenukuu ujumbe wa mtandaoni wa balozi wa Imarati mjini Washington, Marekani ambao umeonyesha uwepo wa njama kubwa za Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia za kuhamisha vya Yemen kwenda nchini Lebanon.
-
Hizbullah: Mashambulizi ya Israel Syria yatawasha moto katika eneo zima
Apr 24, 2018 03:18Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuielezea kuwa nyeti hali ya hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema kuwa, kuendelea mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria si tu kwamba kunahatarisha usalama wa nchi hiyo, bali kuna hatari yatazusha mgogoro katika eneo zima.
-
Mtazamo wa Hassan Nasrullah kuhusiana na uchaguzi wa bunge nchini Lebanon
Apr 11, 2018 02:52Jumapili iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon alihutubia eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon ambapo alibainisha maoni yake kuhusiana na uchaguzi ujao wa bunge nchini humo.
-
Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon
Apr 09, 2018 02:27Utawala wa Kizayuni jana Jumapili ulianza tena kujenga ukuta wake wa kibaguzi kati ya mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon.
-
Hizbullah: Matukio ya Ghaza yamethibitisha kwamba matukufu ya Palestina bado yanaenziwa
Mar 31, 2018 03:17Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa kufuatia maandamano makubwa ya Ijumaa ya jana mjini Ghaza Palestina na kusema kuwa, matukio hayo yamethibitisha kwamba matukufu ya Palestina bado yanaendelea kuenziwa na kwamba Wapalestina wako tayari kujitolea kila kitu chao katika njia ya ukombozi wa ardhi zao.
-
Nasrullah: Saudia imependekeza kuipatia Syria mabilioni ya dola ivunje uhusiano wake na Iran
Mar 27, 2018 12:32Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah amesema utawala wa Aal Saud uliieleza serikali ya Syria kwamba uko tayari kuacha kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotenda jinai na kuifisidi nchi hiyo na kuipatia serikali hiyo ya Damascus mamia ya mabilioni ya dola kwa ajili ya kuijenga upya Syria ikiwa nchi hiyo itakuwa tayari kuvunja uhusiano wake na Iran.
-
Hizbullah: Wanaowaua raia wa Yemen, hao ndio Mahitler wa zama hizi
Mar 17, 2018 12:27Naibu Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, anayehusika na jinai dhidi ya wanawake na watoto wa Yemen, huyo ndiye Hitler wa zama hizi; si Iran ambayo imezisaidia Iraq na Syria kukabiliana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh.
-
Lebanon kuongeza idadi ya askari katika mpaka wa ardhi zinazokaliwa na Israel
Mar 16, 2018 04:14Waziri Mkuu wa Lebanon Sa'ad Hariri amesema nchi yake itaongeza idadi ya wanajeshi katika eneo la mpaka wake na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.