-
Umoja wa Mataifa wakataa kushambuliwa Daesh Libya
Feb 17, 2016 11:40Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema kuwa, huenda hivi sasa usiwe wakati mwafaka wa kufanya operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi wa Daesh nchini Libya.
-
Bunge la Libya laakhirisha tena kikao cha kupasisha serikali mpya
Feb 17, 2016 00:05Kikao cha kupiga kura ya kuwa na imani na serikali mpya ya umoja wa kitaifa ya Libya katika Bunge la Taifa la nchi hiyo linalotambuliwa rasmi na jamii ya kimataifa, kimeahirishwa tena.
-
Tahadhari kuhusu kujiimarisha Daesh huko Libya
Feb 09, 2016 22:12Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu juhudi za kundi la kigaidi la Daesh za kuimarisha ushawishi wake huko Libya.
-
Watatu wauawa katika hujuma ya anga Libya
Feb 07, 2016 10:29Watu watatu wameuwawa katika hujuma ya ndege za kivita zisizojulikana nchini Libya.
-
Tunisia kujenga ukuta wa usalama katika mpaka kati yake na Libya
Feb 07, 2016 04:15Waziri wa Ulinzi wa Tunisia ametangaza kuwa nchi hiyo itaweka uzio wa umeme katika mpaka wa nchi hiyo na Libya ili kukabiliana na tishio la makundi ya kigaidi.
-
Tahadhari kuhusu kubadilika Libya na kuwa tishio kwa Afrika
Feb 04, 2016 23:36Rais wa Nigeria ametahadharisha kuhusu athari za ukosefu wa amani huko Libya na kubadilika suala hilo kuwa tishio kwa usalama wa bara la Afrika.
-
Buhari: Libya ni tishio kwa usalama wa Afrika
Feb 03, 2016 22:25Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametahadharisha kwamba Libya inaweza kuwa tishio kwa bara zima la Afrika.
-
Tahadhari kuhusu kuongezeka magaidi wa Daesh Libya
Jan 27, 2016 23:43Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametahadharisha kuhusu kushamiri uwepo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo.
-
Majina ya mawaziri wapya Libya kuwasilishwa bungeni
Jan 26, 2016 21:45Majina ya mawaziri wapya wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya yatawasilishwa mbele ya bunge linalotambuliwa kimataifa ndani ya muda wa siku 10.