-
Takwa na sisitizo la kuondoka vikosi vya kigeni nchini Libya
May 04, 2021 21:41Baada ya kupita miezi kadhaa tangu kuanza mwenendo wa amani nchini Libya na kuweko juhudi kubwa za kuitisha uchaguzi wa nchi hiyo baadaye mwaka huu, uwepo wa vikosi vya kigeni na vituo vyao vya kijeshi kumeendelea kuwa kikwazo katika njia hiyo.
-
Al-Mushiri: Haftar ni tishio kwa uchaguzi mkuu wa Libya
May 01, 2021 22:35Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kutosalimu amri kwa kamanda wa linalojiita jeshi la taifa mbele ya mamlaka au sheria yoyote ni tishio kwa chaguzi zijao za Bunge na Rais.
-
Wahajiri 130 wahofiwa kufariki dunia baada ya mtumbwi wao kuzama nchini Libya
Apr 23, 2021 03:05Taarifa kutoka nchini Libya zinasema kuwa, mtumbwi mmoja uliokuwa umebeba watu 130 umezama karibu na fukwe za nchi hiyo.
-
Usalama wa kikanda; ajenda ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Algeria na Libya
Apr 20, 2021 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria jana Jumatatu alikutana na mwenzake wa Libya na kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kikanda na kuziunga mkono pande za Libya kwa lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Interpol yakamata makumi ya wafanya magendo ya binadamu
Apr 10, 2021 23:06Polisi ya Kimataifa (Intepol) imesema imewatia mbaroni wafanya magendo ya binadamu zaidi ya 80, na wasafirishaji haramu wa wahajiri wapatao 63 katika opersheni iliyofanyika katika nchi 24 duniani.
-
Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya
Mar 26, 2021 22:00Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.
-
UN yataka mamluki wa kigeni waondoke Libya
Mar 25, 2021 05:00Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amewataka wapiganaji wote mamluki wa nchi za kigeni kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Kamanda wa Libya anayesakwa na ICC auawa kwa kupigwa risasi
Mar 24, 2021 22:35Kamanda wa ngazi ya juu huko Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya.
-
Foreign Policy yafichua taasisi bandia inayodai kuwa na uhusiano na UN, inahusishwa na uhalifu wa kimataifa
Mar 24, 2021 22:04Uchunguzi uliofanywa na gazeti la Foreign Policy umefichua habari za taasisi moja inayodai kuwa na uhusiano na Umoja wa Mataifa na kutetea haki za binadamu ambayo viongozi wake wanatuhumiwa kuhusika na uhalifu na jinai nyingi zikiwemo za kutakatisha fedha chafu na kutorosha mabilioni ya dola za Marekani zilizokuwa zimeporwa kutoroshwa nje ya nchi na kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi kabla ya kuuawa kwake.
-
UN: Vikwazo vya silaha dhidi ya Libya havina athari yoyote
Mar 17, 2021 04:01Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamesema vikwazo vya silaha vya umoja huo dhidi ya Libya vinaendelea kukiukwa na kwa msingi huo havina taathira yoyote.