-
Mapigano yaendelea Libya; mji wa Misrata washambuliwa mara 13
Aug 18, 2019 22:31Ndege za kivita za kundi la wanamgambo kwa jina la Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar zimeushambulia mji wa Misrara mara 13.
-
UN yalaani mashambulizi dhidi ya vifaa na wafanyakazi wa afya Tripoli
Aug 16, 2019 03:36Umoja wa Mataifa umelaani hujuma dhidi ya vifaa na wafanyakazi wa huduma za afya katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Jenerali Haftar apinga kuongezwa muda wa usitishaji mapigano Tripoli
Aug 15, 2019 02:54Kamanda wa kundi la wanamgambo wanaojiita jeshi la kitaifa la Libya amepinga kuongezwa muda wa kusimamisha mapigano nchini humo na kutangaza kuanza tena mashambulizi.
-
Rais wa Afrika Kusini kuwasili nchini Tanzania kesho Jumatano
Aug 12, 2019 22:01Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini kesho Jumatano anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili pamoja na kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC.
-
Mapigano yaendelea Tripoli licha ya tangazo la usitishaji vita
Aug 11, 2019 11:17Mapigano makali yameripotiwa leo huko Tripoli mji mkuu wa LIbya licha ya mapatano ya kusimamisha mapigano katika kusherehekea Sikukuu ya Idhul Adh'ha.
-
Usitishwaji vita Libya katika Siku Kuu ya Idul Adha
Aug 11, 2019 02:28Serikali ya Mapatano ya Kitaifa Libya (GNA) na ambayo inatambuliwa kimataifa imekubali pendekezo la Umoja wa Mataifa la usitishwaji vita kwa muda wakati wa sherehe za Idul Adha.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya
Aug 09, 2019 07:39Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umetoa wito wa kusitishwa mapigano kwa sababu za kibinadamu huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Wanajeshi wa jenerali Haftar wafanya mashambulio ya anga dhidi ya mji wa Misrata
Aug 06, 2019 08:17Vikosi vitiifu kwa jenerali Khalifa Haftar vimefanya mashambulio ya anga dhidi ya mji wa Misrata ulioko magharibi mwa mji mkuu wa Libya Tripoli.
-
Ghassan Salamé: Libya imekuwa uwanja wa vita wa nchi nyingine
Jul 29, 2019 22:33Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametahadharisha kuhusu athari mbaya za vita katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kusema kuwa, Libya imekuwa uwanja wa vita wa nchi nyingine.
-
Al-Sarraj na UN wasisitiza udharura wa kuanza tena mchakato wa kisiasa Libya
Jul 28, 2019 23:48Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya wametilia mkazo udharura wa kuanzishwa tena mchakato wa kisiasa nchini humo.