-
Al Sirraj aahidi kuandaa mazingira mazuri ya kufanyika uchaguzi Libya
Sep 25, 2018 10:14Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa serikali yake itaandaa mazingira mazuri ya kufanyka uchaguzi licha ya mapigano yanayoendelea sasa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
UN: Mapigano Libya yawaweka watoto laki 5 katika hatari kubwa
Sep 25, 2018 04:28Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umetadharisha kuwa, watoto laki tano wapo katika hatari kubwa ya kupoteza maisha kutokana na mapigano yaliyoshtadi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Mapigano yaanza tena karibu na matangi ya mafuta huko Tripoli, Libya
Sep 23, 2018 23:27Duru za kiusalama za Libya zimetangaza habari ya kuanza tena mapigano kandokando ya matangi ya mafuta huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mapigano yashtadi Libya, waliouawa Tripoli wapindukia 96
Sep 21, 2018 09:22Wizara ya Afya nchini Libya imetoa indhari juu ya kushadidi mapigano katika mji mkuu Tripoli, ambapo idadi ya waliouawa katika ghasia hizo imeongezeka na kufikia watu 96, wakiwemo raia.
-
Seif al Islam Gaddafi akutana na viongozi wa ngazi za juu wa Imarati na Misri
Sep 17, 2018 10:57Baadhi ya duru za ngazi za juu za Libya na Misri zimetangaza kuwa, Seif al Islam, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, amekutana na viongozi wawili wakubwa wa Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri.
-
Wakazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli walalamikia hali mbaya ya usalama
Sep 16, 2018 23:34Wakazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli jana walifanya maandamano wakilalamikia hali mbaya ya usalama katika mji huo mkuu na kutaka kuboreshwa hali ya maisha nchini humo.
-
Sheria ya kura ya maoni kuhusu katiba ya Libya yapasishwa
Sep 14, 2018 10:57Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi limefanya kikao cha dharura na kupasisha suala la kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Mpango wa kundi la amani la Libya wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo
Sep 13, 2018 09:43Mkuu wa kundi la amani la Libya amesema kuwa kumependekezwa mpango mpya wa kitaifa kwa ajili ya kurejesha amani nchini humo.
-
Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa
Sep 12, 2018 09:40Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema ni muhali kufanyika uchaguzi nchini humo katika mazingira ya hivi sasa.
-
Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora
Sep 12, 2018 03:09Duru za habari leo asubuhi zimeripoti kuwa uwanja wa ndege wa Tripoli mji mkuu wa Libya umeshambuliwa kwa kombora.