-
Dereva wa Bin Laden atiwa mbaroni nchini Libya
Jun 18, 2018 03:04Dereva wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa al Qaida, Usama bin Laden ametiwa mbaroni katika mji wa Derna wa mashariki mwa Libya.
-
Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake
Jun 15, 2018 23:34Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani ameushambulia vikali Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kueneza fitna na kuchochea chuki na uhasama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Wanamgambo washambulia taasisi za mafuta mashariki mwa Libya
Jun 14, 2018 10:26Afisa mmoja wa jeshi la Libya amesema, wanamgambo wenye silaha wameshambulia taasisi za mafuta zilizoko chini ya Jenerali Khalifa Haftar mashariki mwa nchi hiyo na kuchoma moto kwa uchache tangi moja la mafuta.
-
Serikali ya Libya yapendekeza mpango wa kuharakisha utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo
Jun 10, 2018 22:11Mjumbe wa Baraza Kuu la serikali ya Libya ametangaza kuwa serikali hiyo imewasilisha mpango maalumu kwenye Baraza la Wawakilishi la Tobruk kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya
Jun 09, 2018 22:19Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.
-
Jeshi la Taifa la Libya ladhibiti asilimia 80 ya mji wa Derna
Jun 09, 2018 12:29Msemaji wa Jeshi la Taifa la Libya amesema kuwa jeshi hilo linadhibiti asilimia 80 ya mji wa Derna.
-
UN yawawekea vikwazo vigogo 6 kwa kuhusika na magendo ya binadamu Libya
Jun 08, 2018 02:23Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwawekea vikwazo vigogo sita wanaotuhumiwa kuhusika na biashara haramu ya magendo ya binadamu nchini Libya.
-
Jeshi la Taifa la Libya ladhibiti asilimia 75 ya mji wa Derna
Jun 05, 2018 09:34Vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar vimetangaza kuwa vimeshafanikiwa kukomboa asilimia 75 ya mji wa Derna wa mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Wafanya magendo ya binadamu waua wahajiri 12 Libya
Jun 01, 2018 09:23Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 12 wameuawa kwa kupigwa risasi na wafanya magendo ya binadamu, walipokuwa wakijirabu kukimbia kambini nchini Libya.
-
Wahajiri haramu 221 waondolewa nchini Libya
May 31, 2018 20:25Idara ya wahajiri na wahamiaji nchini Libya imetangaza habari ya kuondolewa wahajiri haramu 221 nchini humo.