-
Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya
Dec 18, 2017 11:00Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameitaka Algeria ishiriki pakubwa katika kusogeza mbele mazungumzo ya kusaka amani ya nchi yake.
-
Russia yakadhibisha kumuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya
Dec 16, 2017 00:16Balozi wa Russia nchini Libya amekadhibisha madai kwamba nchi yake inamuunga mkono kamanda wa jeshi la taifa la Libya na kuyataja madai hayo kuwa ya uongo.
-
Wahajiri karibu 200 waokolewa katika pwani ya Libya
Dec 15, 2017 13:14Kikosi cha Jeshi la Majini la Libya kimeokoa wahajiri karibu 200 katika pwani ya magharibi mwa nchi hiyo katika Bahari ya Mediterania waliokuwa wakielekea Ulaya.
-
Libya kuwaadhibu wanaohusika na biashara ya utumwa
Dec 15, 2017 03:52Serikali ya Libya imesema itawaadhibu wale wote watakaopatikana na hatia ya kuhusika na biashara ya utumwa na udhalilishaji wa wahajiri wa Kiafrika
-
EU: Tumeandaa mpango maalumu wa kuwaondoa wahajiri 15 elfu nchini Libya
Dec 15, 2017 00:48Mkuu wa Siasa za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo umeandaa mpango maalumu wa kuwaondoa wahajiri 15 wa Kiafrika kutoka katika ardhi ya Libya.
-
Ukosoaji wa Amnesty International kwa Umoja wa Ulaya kuhusiana na wahajiri wa Kiafrika
Dec 13, 2017 00:48Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International sambamba na kuyatuhumu madola ya Ulaya kwa kuwaunga mkono viongozi wa Libya wanaoshirikiana na magenge ya magendo ya binadamu limesema kuwa, madola hayo yanashirikiana katika ukiukaji wa haki za wahajiri nchini humo.
-
Amnesty yasema EU inashiriki katika kuteswa wahajiri Libya
Dec 12, 2017 04:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limezituhumu nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa zinashiriki katika kuteswa, kukandamizwa na kudhalilishwa wahajiri wanaozuiliwa nchini Libya.
-
UN yaeleza wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Libya
Dec 11, 2017 10:13Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.
-
Libya na Italia zakubaliana kuanzisha oparesheni za kukabiliana na magendo ya wahajiri
Dec 10, 2017 23:59Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imekubaliana na Italia kuanzisha vyumba vya pamoja vya oparesheni ili kukabiliana na magendo ya wahajiri kama sehemu ya juhudi za kukomesha wimbi la wahajiri kuelekea Ulaya.
-
Wahamiaji 190 waokolewa katika fukwe za Libya
Dec 09, 2017 11:29Kikosi cha gadi ya ufukweni cha nchini Libya kimeliokoa kundi la wahamiaji wa Kiafrika ambao walikuwa katika juhudi za kukimbilia barani Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean.