Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Umoja wa Afrika kuwarejesha wahajiri 20,000 kutoka Libya

    Umoja wa Afrika kuwarejesha wahajiri 20,000 kutoka Libya

    Dec 07, 2017 11:45

    Umoja wa Afrika umetangaza kuwa, umepanga kuwarejesha makwao wahajiri elfu ishirini kutoka Libya.

  • Rais wa Mauritania asema nchi za Magharibi ndio chanzo cha mgogoro Libya

    Rais wa Mauritania asema nchi za Magharibi ndio chanzo cha mgogoro Libya

    Dec 05, 2017 12:30

    Rais wa Mauritania amesema hujuma ya kijeshi ya nchi za Magharibi dhidi ya Libya ilikuwa ni kosa kubwa na hivyo nchi hizo zinapaswa kubeba dhima ya matatizo yaliyoko hivi sasa nchini humo.

  • AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    Dec 04, 2017 11:40

    Umoja wa Afrika AU umeitisha kikao cha kuchunguza hatua za kivitendo za kuwakomboa wahamiaji wa Kiafrika katika jela za Libya na kuwarejesha katika nchi zao.

  • 'Watumwa' wananyofolewa viungo vya mwili Libya

    'Watumwa' wananyofolewa viungo vya mwili Libya

    Dec 03, 2017 23:41

    Imebainika kuwa, baadhi ya raia wa Kiafrika wanaopigwa mnada katika magendo ya binadamu nchini Libya wananyofolewa viungo vyao vya mwili na kuuzwa.

  • UN yasisitiza kufanyika uchaguzi mkuu nchini Libya mwaka ujao wa 2018

    UN yasisitiza kufanyika uchaguzi mkuu nchini Libya mwaka ujao wa 2018

    Dec 03, 2017 03:34

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema Walibya watafanya uchaguzi mwaka ujao wa 2018 kwa kutumia kipindi ambapo kiwango cha uingiliaji wa nchi jirani katika masuala ya nchi hiyo kitafikia kiwango cha chini zaidi.

  • Mwito wa Libya wa kuondolewa vikwazo vya silaha

    Mwito wa Libya wa kuondolewa vikwazo vya silaha

    Dec 02, 2017 00:42

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011.

  • Macron aitaka Saudia iache kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi

    Macron aitaka Saudia iache kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi

    Nov 30, 2017 12:49

    Rais wa Ufaransa amesema kuwa Saudi Arabia inapasa kuacha kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Baraza la Usalama lataka kukomeshwa magendo ya binadamu Afrika

    Baraza la Usalama lataka kukomeshwa magendo ya binadamu Afrika

    Nov 29, 2017 12:56

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuendeshwa vita dhidi ya magendo ya binadamu na biashara ya utumwa katika bara la Afrika.

  • Serikali ya Libya kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa

    Serikali ya Libya kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa

    Nov 24, 2017 03:33

    Serikali ya Libya yenye makao yake mjini Tripoli na ambayo inatambuliwa na jamii ya kimataifa imetangaza kuwa, itafanya uchunguzi kuhusiana na taarifa za kuweko biashara ya utumwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Rwanda kupokea maelfu ya wahamiaji waliokwama Libya + Sauti

    Rwanda kupokea maelfu ya wahamiaji waliokwama Libya + Sauti

    Nov 24, 2017 02:36

    Serikali ya Rwanda imesema kuwa iko tayari kupokea wahamiaji zaidi ya 30,000 wa Kiafrika waliokwama nchini Libya na ambao wanapigwa mnada sokoni na kuuzwa kama bidhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS