-
Mamia ya Wahamiaji wanyanyaswa na kushikiliwa bila ridhaa yao Libya
Jun 15, 2017 02:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM limebainisha wasi wasi kuhusu hali ya takribani wakimbizi na wahamiaji 260 wa Somalia na Ethiopia wakiwemo watoto wanaoshikiliwa na wasafirishaji haramu wa binadamu au magenge ya wahalifu nchini Libya bila ridhaa yao.
-
Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani
Jun 12, 2017 21:57Bunge la Libya limetahadharisha kuhusu kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani wa nchi hiyo.
-
Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji pwani ya Libya
Jun 11, 2017 09:39Makumi ya wahajiri wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Kundi la wabeba silaha Libya lamwachia huru Saiful Islam Gaddafi
Jun 11, 2017 03:33Kundi moja la wabeba silaha nchini Libya limetangaza kuwa limemwachia huru mwana wa kiume wa aliyekuwa dikteta wa nchi hiyo aliyeuawa Muammar Gaddafi, Saiful-Islam Gaddafi ambaye alikuwa akishikiliwa gerezani tangu mwaka 2011.
-
UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya
Jun 10, 2017 11:26Umoja wa Mataifa umesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekiuka vikwazo vya silaha vya Libya.
-
Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya utatimia bila uingiliaji wa kigeni
Jun 06, 2017 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, utatuzi wa matatizo ya Libya utatimia bila uingiliaji wa kigeni sambamba na kulindwa umoja wa kitaifa.
-
Miili 7 ya wahajiri wa Kiafrika yapatikana ndani ya lori Libya
Jun 05, 2017 09:36Wahajiri saba wa Kiafrika wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa wakiwa ndani ya lori lenye jokofu kwa muda wa siku mbili katika pwani ya Libya.
-
Wataka mkuu wa jeshi apandishwe kizimbani Libya kwa kushirikiana na Misri
Jun 01, 2017 09:50Wanaharakati nchini Libya wametaka mkuu wa jeshi la nchi hiyo apandishwe kizimbani kwa madai ya kula njama na Misri na kutoheshimu haki ya kujitawala Libya.
-
Wahajiri 58 wafa maji bahari ya Mediterrania, 100 watoweka
May 30, 2017 11:03Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 58 aghalabu yao wakiwa ni watoto wadogo wamekufa maji katika Bahari ya Mediterrania karibu na pwani ya Libya wakijaribu kuingia barani Ulaya.
-
Libya yataka mashambulizi ya jeshi la Misri nchini humo kufuatiliwa kimataifa
May 30, 2017 03:25Wabunge la Libya wametaka kufuatiliwa katika asasi za kimataifa mashambulizi ya anga ya Misri ndani ya ardhi ya nchi hiyo.