-
Nchi jirani zaunga mkono mazungumzo ya amani Libya
May 28, 2017 02:26Nchi zinazopakana na Libya zimeunga mkono juhudi za kumaliza migogoro ya nchi hiyo kupitia kuanzisha mazungumzo ya pande zote ya kisiasa.
-
Ndege za Misri zashambulia maficho ya magaidi nchini Libya
May 27, 2017 02:12Jeshi la Anga la Misri limefanya mashambulizi katika maficho ya magaidi ndani ya ardhi ya Libya baada ya watu wenye silaha kushambulia mabasi mawili yaliyokuwa na Wakristo mkoani al Minya.
-
Baba wa mhusika wa shambulio la kigaidi la Manchester akamatwa nchini Libya
May 25, 2017 03:20Baada ya kukamatwa ndugu wa kiume wa Salman Abedi, mhusika wa shambulio la kigaidi la mjini Manchester, Uingereza, kitengo cha kupambana na ugaidi nchini Libya kimetangaza kuwa kimemkamata pia baba wa mhusika huyo wa shambulio hilo.
-
Wahajiri 34, aghlabu yao watoto, wazama baharini Libya
May 24, 2017 23:57Wahajiri wasiopungua 34, wengi wao wakiwa ni watoto, walizama jana Jumatano katika Bahari ya Mediterranean karibu na pwani a Libya.
-
Libya yataka kuondolewa vikwazo vya silaha
May 24, 2017 09:55Waziri Mkuu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha.
-
Sudan yaongeza idadi ya askari wake katika mpaka wa pamoja na Libya
May 22, 2017 22:46Sudan imeanza kutuma askari zaidi katika mpaka wake wa pamoja na Libya katika eneo la Darfur.
-
Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa
May 22, 2017 03:05Spika wa Bunge la Algeria ametangaza kuwa, kutumiwa nguvu za kijeshi katika nchi za Syria, Yemen na Libya kumesababisha kutokea maafa ya kibinadamu katika nchi hizo.
-
UN: Watu milioni 1.3 wanahitaji misaada ya dharura Libya
May 21, 2017 23:40Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni moja na laki tatu nchini Libya wanahitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kurejeshwa utulivu nchini Libya
May 21, 2017 09:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote zinazopigana kusini mwa Libya kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo.
-
Idadi ya waliouawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Libya yafikia 141
May 20, 2017 02:43Kwa akali watu 141 wameripotiwa kupoteza maisha katika shambulio lililoilenga kambi ya jeshi huko kusini mwa Libya.