-
Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya
May 19, 2017 03:00Makumi ya watu wameuawa baada ya vikosi tiifu kwa makundi hasimu ya kisiasa nchini Libya kukabiliana huko kusini mwa nchi.
-
Sisitizo la kuondolewa vikwazo vya kuingiza silaha nchini Libya
May 15, 2017 09:01Katika mwendelezo wa mashauriano kwa lengo la kuimarisha usalama na uthabiti nchini Libya, Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amekutana na kamanda mkuu wa jeshi la Libya na kusisitizia umuhimu wa kuondolewa vikwazo vya uingizaji silaha nchini humo.
-
Yemen katika muelekeo wa mfumo wa kisiasa unaofanana na wa Libya
May 13, 2017 07:13Ushahidi uliopo unaonyesha kuwa Yemen inaelekezwa kwenye muundo na mfumo wa kisiasa sawa na uliofeli na kugonga mwamba nchini Libya.
-
Makumi ya askari wa Libya wauawa na kujeruhiwa Benghazi
May 09, 2017 09:13Kwa akali askari 11 wa jeshi la Libya wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa katika makabiliano na magenge ya kigaidi mjini Benghazi, mashariki mwa nchi.
-
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya
May 09, 2017 03:41Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametangaza kuwa mahakama hiyo imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai na uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya.
-
Khalifa al-Ghweil: Mazungumzo ya ndani ndio njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya
May 07, 2017 08:44Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ni kufanyika mazungumzo yatakayoyashirikisha makundi yote.
-
Kuendelea mashauriano ya kurudisha uthabiti Libya
May 05, 2017 23:32Katika kuendelea juhudi za kuleta amani na uthabiti huko Libya, Mwakilishi Malum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya ameonana na kufanya mazungumzo na Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya nchi hiyo.
-
Viongozi wa makundi makuu Libya wakutana ili kupunguza mivutano
May 03, 2017 21:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya imesema kuwa mazungumzo ya hivi karibuni baina ya Khalifa Haftar na Fayez al Sarraj ni hatua muhimu kuelekea kuleta hali ya kuaminiana na kutatua mgogoro wa miaka mingi wa nchi hiyo.
-
Mapatano kuhusu mustakabali wa Libya
May 03, 2017 21:49Hatimaye, baada ya duru kadhaa za mazungumzo, Khalifa Haftar Kamanda wa Jeshi la Kitaifa la Libya na Fayez Al Siraj Waziri Mkuu wa Serikali ya Maelewano ya Kitaifa wamehitimisha hitilafu zao na kufikia mapatano kuhusu utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo.
-
Nafasi isiyo na taathira ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai katika mgogoro wa Libya
Apr 27, 2017 03:41Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetoa waranti wa kutiwa mbaroni Tohami Mohamed Khalid mkuu wa zamani wa kitengo cha usalama wa ndani cha Libya kutokana na kile kilichoelezwa na mahakama hiyo kwamba, alihusika katika ukandamizaji dhidi ya raia.