Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Warundi waandamana Bujumbura kupinga ripoti ya Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi yao

    Warundi waandamana Bujumbura kupinga ripoti ya Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi yao

    Feb 11, 2018 01:14

    Maelfu ya raia wa Burundi Jumamosi ya jana waliandama mjini Bujumbura, katika kulalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayopinga suala la kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi hiyo ili kumruhusu Rais Pierre Nkurunziza kugombea katika uchaguzi ujao.

  • Malalamiko dhidi ya Trump Sudan Kusini

    Malalamiko dhidi ya Trump Sudan Kusini

    Feb 07, 2018 08:55

    Watu wa Sudan Kusini wamefanya maandamano nchini humo wakilalamikia amri mpya ya Rais Doland Trump wa Marekani ya kupiga marufuku jeshi la nchi hiyo ya Kiafrika kuuziwa silaha.

  • Maandamano London ya kupinga kuuziwa silaha Riyadh

    Maandamano London ya kupinga kuuziwa silaha Riyadh

    Feb 05, 2018 04:23

    Makumi ya watu juzi waliandamana na kukusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London Uingereza wakipinga na kulalamikia hatua ya Uingereza ya kuiuzia silaha Saudia.

  • Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaki aachiliwe huru.

    Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Zakzaki aachiliwe huru.

    Feb 04, 2018 04:32

    Wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria wanaendeleza maandamano ya amani ya kutaka aachiliwe huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Wapalestina wavuruga warsha ya Marekani Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina wavuruga warsha ya Marekani Ukingo wa Magharibi

    Jan 30, 2018 23:52

    Wapalestina wenye ghadhabu wamevuruga warsha ya biashara iliyoandaliwa na Marekani katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Papa asikitishwa na mauaji ya waandamanaji Kongo DR

    Papa asikitishwa na mauaji ya waandamanaji Kongo DR

    Jan 24, 2018 10:39

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametoa mwito wa kukomeshwa mauaji na ukandamizaji unaofanywa na maafisa usalama dhidi ya waandamanaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Maelfu ya watu waandamana kupinga safari ya Trump nchini Uswisi

    Maelfu ya watu waandamana kupinga safari ya Trump nchini Uswisi

    Jan 24, 2018 04:25

    Maelfu ya raia wa Uswisi wameandamana mjini Zurich na katika miji mingine muhimu ya nchi hiyo ikiwemo ya Geneva, Lausanne na Fribourg kupinga Rais Donald Trump wa Marekani kuhudhuria kongamano la kila mwaka la Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) linalofanyika katika mji wa Davos.

  • Wahaiti waandamana kulaani kauli ya kebehi ya Trump dhidi ya nchi yao

    Wahaiti waandamana kulaani kauli ya kebehi ya Trump dhidi ya nchi yao

    Jan 22, 2018 23:56

    Wananchi wa Haiti wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Port-au-Prince, kulaani matamshi ya kudhalilisha na ya kibaguzi yaliyotolewa na Donald Trump hivi karibuni.

  • Polisi Kongo DR yajiweka tayari kuzima maandamano dhidi ya Kabila

    Polisi Kongo DR yajiweka tayari kuzima maandamano dhidi ya Kabila

    Jan 21, 2018 04:05

    Maafisa wa polisi wameonekana wakilinda doria katika kila kona ya mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, masaa machache kabla ya kuanza maandamano ya kumshinikizi Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aachie ngazi.

  • Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru

    Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru

    Jan 20, 2018 03:37

    Wananchi wa Nigeria Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka serikali ya nchi hiyo imuachilie Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS