-
Wakazi wa Bukavu, Kongo DR waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama
Sep 25, 2017 11:47Wakazi wa mji wa Bukavu, katikati ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko yanayoendelea katika mkoa huo.
-
Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji
Sep 19, 2017 23:54Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhumu Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji na kwamba anahatarisha maisha yao.
-
Harakati ya "Septemba 15" yatoa wito wa kufanyika maandamano makubwa Saudia
Sep 13, 2017 23:25Harakati ya Septemba 15 inayoendesha harakati za amani za upinzani nchini Saudi Arabia imetoa wito kwa wapinzano wote wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo kushiriki kwenye maandamano ya kupigania matakwa ya wananchi.
-
Upinzani Togo: Tutasitisha maandamano iwapo rais atajiuzulu
Sep 09, 2017 03:12Kiongozi wa upinzani nchini Togo amesema maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali ya nchi hiyo yataendelea kushuhudiwa madhali Rais Faure Gnassingbe wa nchi hiyo ataendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya
Sep 02, 2017 23:24Waislamu nchini Indonesia wamejitokeza kwa wingi mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani mauaji na jinai wanazofanyiwa Waislamu wenzao wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Wazayuni waandamana tena kulalamikia ufisadi wa Netanyahu
Aug 27, 2017 03:24Kwa mara nyingine tena maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano katika mji wa Tel Aviv huko Israel kushinikiza kuuzuliwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakimtuhumu kwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi.
-
Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao
Aug 27, 2017 03:13Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano katika mji mkuu Sana'a kulaani ukatili na mashambulizi ya kila uchao ya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.
-
Wanajeshi wa utawala wa Israel washambulia Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Aug 26, 2017 02:27Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel Ijumaa usiku waliwashambulia Wapalestina na kuwajeruhi 11 kati yao katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mamia ya Waislamu waandamana dhidi ya ugaidi nchini Uhispania
Aug 20, 2017 02:29Mamia ya Waislamu katika mji wa Barcelona kaskazini mashariki mwa Uhispania wamefanya maandamano kulaani na kupinga mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyotokea nchini humo siku chache zilizopita.
-
Maelfu ya Wazayuni wasisitiza kuuzuliwa Benjamin Netanyahu
Aug 13, 2017 09:50Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano jirani na mji wa Tel Aviv Israel na kutoa wito wa kuuzuliwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakimtuhumu kwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi.