-
Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Nov 11, 2024 09:31Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza
Nov 03, 2024 02:46Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza katika Siku ya Balfour, kumbukizi ya kila mwaka ya kuadhimisha nafasi ya Uingereza katika kuasisiwa utawala wa Kizayuni mwaka 1917.
-
Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla
Oct 20, 2024 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 08, 2024 22:57Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Vita vya Ukraine vinaweza vikavuka mwaka 2026
Sep 24, 2024 07:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy ametabiri kuwa mapigano kati ya Russia na Ukraine huenda yakaendelea kwa angalau miaka miwili zaidi na kuvuka mwaka 2026.
-
Serikali ya Australia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii
Sep 10, 2024 22:50Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese ametangaza kuwa serikali yake inapanga kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii.
-
US yaja na mpango mpya wa kusitisha vita Ghaza, "bila matumaini" ya kufikiwa mwafaka
Sep 09, 2024 03:20Maafisa wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema, Washington "haina matumaini" ya kufikiwa makubaliano ya kubadilishana mateka na makundi ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza, lakini pamoja na hayo, karibuni hivi itawasilisha pendekezo lake jipya.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Berlin Ujerumani
Sep 08, 2024 23:24Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza.
-
Yemen wafanya maandamano ya mamilioni ya watu kuwaunga mkono Wapalestina
Aug 31, 2024 00:45Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamemiminika barabarani kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Wananchi wa Uturuki wafanya maandamano Istanbul kuunga mkono Gaza
Aug 26, 2024 07:56Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya wanawake na watoto wadogo katika eneo la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu.